IN FL WE TRUST
Lampard apewe muda, msimu uishe ndio tupige mahesabu
Tumejua ww si shabiki wa Chelsea weIN FL WE TRUST
Lampard apewe muda, msimu uishe ndio tupige mahesabu
Hakuna kocha wa kiingereza alie fanya vizuriLampard akitimuliwa, Abromovich asije akarudia kosa la kumpa kazi tena kocha wa kiingereza.
Lampard apewe Muda gani tena atimuliwe mapema sanaIN FL WE TRUST
Lampard apewe muda, msimu uishe ndio tupige mahesabu
Ndg kwani kuna kadi za uanachama au usiposema Lampard Out ndio wewe sio shabiki wa Chelsea. MIchango yangu mingi nilishasema akitupa top 4 au UEFA abaki, tukikosa zote mbili atimuliwe na kama FL ana ugomvi na baadhi ya wachezaji muhimu atimuliwe mapema maana hatutapata matokeo mazuri kama kuna wachezaji muhimu hawaridhjiki na kocha. Mfano low form ya Kante, Kovacic, Werner, Havertz, Pulisic inaweza kuwa iko related na kutokuwepo na mahusiano mazuri na kocha wao. If that is the case atimuliwe. SO mimi ni mshabiki ndaki ndaki wa Chelsea na kama mshabiki yeyote ninataka raha ambayo huletwa timu ikishinda na kubeba makombe. Lampard sio mama yangu wala baba yanguTumejua ww si shabiki wa Chelsea we
Ila kama hana mahusiano mazuri na wachezaji muhimu atimuliwe kwa sababu hata akipewa miaka 10 hataleta mabadiliko. Mimi naamini FL ana ugomvi baridi na wachezaji muhimu ndani ya kambi ya CobhanFrank lampard ni moja katika ya makocha wazuri sana, yupo na
Vision, systematic, intellectual, skills bila kusahau ability
Anajenga timu ambayo naiona itakua tishio sana, trust the process.
Pengine anaweza kujenga timu tishio zaidi ya hii Liverpool ambayo klop alipambana zaidi ya miaka mitatu
Maandazi ya buza au majowe hawawezi kuelewa.
Pep guardiola msimu wake wa kwanza aliharibu sana
Arteta amedakia katika katika ya msimu. Na amefanya maajabu and still he doing fine.
Huyu ni special case tumuacheni kama alivyo
Lazima lampard apewe muda, kufanya kitu. Timu haijengwi kama nyumba kwamba kupandisha tofali tu
Mashabiki wa Chelsea mnatia aibu sana kuanzia matokeo yenu hadi jinsi mnavyofikiria[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eti "lampard atuachie timu" nyie wapuuzi mnachangia nini kwenye club??
Mwingine elimu ya msingi alimaliza kwa nguvu za viboko, et hapa nae anakosoa taaruma ya Frank[emoji3][emoji3][emoji3]
Kushabiki Chelsea kuungana na mashabik hawa nayo ni aina nyinge ya kujidhalilisha tu
Wachezaji wanasema wanafuraha na kocha,Ila kama hana mahusiano mazuri na wachezaji muhimu atimuliwe kwa sababu hata akipewa miaka 10 hataleta mabadiliko. Mimi naamini FL ana ugomvi baridi na wachezaji muhimu ndani ya kambi ya Cobhan
achen ajenge timu, shida kinachomuhukumu ni zile pound mil 230IN FL WE TRUST
Lampard apewe muda, msimu uishe ndio tupige mahesabu
Kwa hiyo unafikiri Lampard ana uwezo wa kutufikisha top4??! Achilia mbali UEFA.Ndg kwani kuna kadi za uanachama au usiposema Lampard Out ndio wewe sio shabiki wa Chelsea. MIchango yangu mingi nilishasema akitupa top 4 au UEFA abaki, tukikosa zote mbili atimuliwe na kama FL ana ugomvi na baadhi ya wachezaji muhimu atimuliwe mapema maana hatutapata matokeo mazuri kama kuna wachezaji muhimu hawaridhjiki na kocha. Mfano low form ya Kante, Kovacic, Werner, Havertz, Pulisic inaweza kuwa iko related na kutokuwepo na mahusiano mazuri na kocha wao. If that is the case atimuliwe. SO mimi ni mshabiki ndaki ndaki wa Chelsea na kama mshabiki yeyote ninataka raha ambayo huletwa timu ikishinda na kubeba makombe. Lampard sio mama yangu wala baba yangu
Wewe jamaa una matusi ya rejarejaFrank lampard ni moja katika ya makocha wazuri sana, yupo na
Vision, systematic, intellectual, skills bila kusahau ability
Anajenga timu ambayo naiona itakua tishio sana, trust the process.
Pengine anaweza kujenga timu tishio zaidi ya hii Liverpool ambayo klop alipambana zaidi ya miaka mitatu
Maandazi ya buza au majowe hawawezi kuelewa.
Pep guardiola msimu wake wa kwanza aliharibu sana
Arteta amedakia katika katika ya msimu. Na amefanya maajabu and still he doing fine.
Huyu ni special case tumuacheni kama alivyo
Lazima lampard apewe muda, kufanya kitu. Timu haijengwi kama nyumba kwamba kupandisha tofali tu
Mashabiki wa Chelsea mnatia aibu sana kuanzia matokeo yenu hadi jinsi mnavyofikiria[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Eti "lampard atuachie timu" nyie wapuuzi mnachangia nini kwenye club??
Mwingine elimu ya msingi alimaliza kwa nguvu za viboko, et hapa nae anakosoa taaruma ya Frank[emoji3][emoji3][emoji3]
Kushabiki Chelsea kuungana na mashabik hawa nayo ni aina nyinge ya kujidhalilisha tu
Taka taka itazame nafasi ya nane huko.Toka hapaa takataka...