Henderson ni mzuri? Emi Martinez aliyekua Arsenal ni mzuri kuliko Henderson.Kepa anauzwa,
Donnaruna mkataba wake unaelekea ukingoni na isitoshe ana miaka kama 21 hiv kama sijakosea, Mendy anamiaka 28
Man utd wana 2 wazuri, de gea,henderson,wote hawa nimakipa wazuri
Cech ni wa msim huu tu, due to hali ilivyo ya corona.
Duh kazeni butiKai amekutwa na CORONA hayupo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namuona sungusungu mkuu hapo katikati. Kocha wenu alijaribisha kumbench akadondokea pua.Leo tunacheza mfumo wa ulinzi shirikishi 343
Pulisic - Werner/Giroud - Odoi/Ziyech
Chilwell - Kante - Kovacic - Azipu
Thiago - Christensen - Zouma
Mkuu hii taarifa mbona haipo.Kai amekutwa na CORONA hayupo
Hata me hiyo taarifa sijaiyonaMkuu hii taarifa mbona haipo.
Umeitolea wapi??
Mh mi nimeona source flan waliokutwa n Corona Chelsea ni watu wengine nje ya squad...hii ya Kai mpyaKai amekutwa na CORONA hayupo
Sina wasiwasi, bali ni taarifa ndio maana nimeuliza umeitolea wapi.Mkuu wasiwasi wa nini? Kwani Kai ni wa muhimu kikosini?
Leo tunawanyonyoa nyieWalete waleteView attachment 1666506
Yn mm naona bora kufungwa kuliko drawLeo kuna matokeo mawili tuu:-
1. DRAW
2. Chelsea 2 - 1 City
Baada ya game Nina uhakika hautokuja tena humu [emoji123][emoji123] Chelsea leo lazima ashinde ..Leo tunawanyonyoa nyie
Man City hatuna utani na watoto wa madarajan
Gori 6 tunawatundika
Sina faida yoyote kama wewe tu tukishinda, Tukifungwa angalao Roman aache uboya. yakiwa magoli mvua itapendeza.Kwani tukifungwa unapata faida gani?