juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Tim yetu haina balanceDirisha leo limefunguliwa, je Chelsea tunahitaji kwenda sokoni?
Kwa maoni yangu tunahitaji hata usajili mmoja tu wa CAM mwenye uwezo wa kufunga na kuassists
Huyu CAM asinunuliwe mwenye jina kubwa au bei kubwa ili asije na presure ya bei kama ya Havertz
Tukiwauza akina Alonso na Kepa tunaweza tukapata pesa za manunuzi
Mfano Yule ericsen pale interDirisha leo limefunguliwa, je Chelsea tunahitaji kwenda sokoni?
Kwa maoni yangu tunahitaji hata usajili mmoja tu wa CAM mwenye uwezo wa kufunga na kuassists
Huyu CAM asinunuliwe mwenye jina kubwa au bei kubwa ili asije na presure ya bei kama ya Havertz
Tukiwauza akina Alonso na Kepa tunaweza tukapata pesa za manunuzi
Lampard bado yupo sana ndo kwanza anaanza kuirudisha Chelsea inapotakiwaHawa ndio Chelsea fans, wanaamini tatizo la Chelsea ni kuingia tena sokoni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mendy, Chilwel, Kai, Werner, T. Silva, Ziyech,
Hao wote inamaana hakuna impact
Lampard aachie timu. [emoji3][emoji3]
Tumefikia hatua kuwa shabiki wa Chelsea ni tusi kubwa sana.
Kama hauja taga std7 basi dishi limeyumba by nature
Binafsi huwa nawakubali sana the bluez[emoji111][emoji111][emoji111]
Lampard ana uwezo mkubwa tu na ni mzuri sanaUnajua na wewe unajichanganya. Mashabiki wengi the blues wanapaza kelele kuhusu nafasi ya kocha, tunafahamu tatizo ni Kocha, wenye mamlaka ya kumuajiri hawataki kumfukuza sisi tufanye nini?
Kama kocha bado yupo sanaa basi aendelee kusajili tuu tupate matokeo kwa uwezo zaidi wa wachezaji na sio kwa uwezo kocha.
Kwanini usianze wewe kuvuta bangi?Sasa nyie Chelsea msimu huu mnataka nini
Mimi naona bora muanze kuvuta Bangi Kama Lampard tu
Hakuna namna nyingine
Statistically hata nyinyi leo mnaweza kushinda. Ila mtafungwa mkicheza 4 3 3Yaani now arsenal tumemzidi point 3 tu. Tukipigwa leo yeye akija kushinda sijui tutaongea nini.
Mimi nasema chelsea ikitaka kushinda bila kuhofia mechi icheze 4 3 1 2 au 3 4 1 2. 1 awe Kai na 2 ni Werner na yeyote yule.Leo tunacheza mfumo wa ulinzi shirikishi 343
Pulisic - Werner/Giroud - Odoi/Ziyech
Chilwell - Kante - Kovacic - Azipu
Thiago - Christensen - Zouma
Lamps sasa utashangaa akipanga tofauti ....Tammy Abraham n jorginho ndaniLeo tunacheza mfumo wa ulinzi shirikishi 343
Pulisic - Werner/Giroud - Odoi/Ziyech
Chilwell - Kante - Kovacic - Azipu
Thiago - Christensen - Zouma
Yea kwa Abramovic anavyotatua matatizo sibishiYah Chelsea fc tunayo pesa mzigo wa kutosha. Tunataka kila namba tusajili wachezaji watatu watatu na tunataka tuvunje rekodi ya kusajili makocha wengine 2 kwa pamoja, tuwe na makocha 3 kwenye timu (Lampard, Tuchel, Alegri), au nasema uongo ndugu zangu?
Yaani now arsenal tumemzidi point 3 tu. Tukipigwa leo yeye akija kushinda sijui tutaongea nini.
Sis City tunakuja kuvunja vunja hiyo inayoitwa Stanford Bridge iliyoko hapo London
Kepa anauzwa,Fununu za usajili zinasema Chelsea inamfukuzia Donnaruma. Yaani ikimsajili itakua na makipa wawili ambao kiwango chao kinawaruhusu kua first team.
Nafasi ya ukipa hadi umpiku mwenzako ni ngumu sana. Martinez akaona bora aende Villa ili awe kikosi cha kwanza, Mendy alikubali kuja chelsea akijua wazi anakua kikosi cha kwanza.
Donnaruma hawezi kuja kama hatohakikishiwa kuanza. Au labda recruitment ya chelsea ina mpango wa kumtimua mendy.
So chelsea itakua na mendy, kepa, cech na donnaruma kwenye benchi