mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Chelsea fans msikate tamaa kirahisi hivi, jana mlikua na siku mbaya na Arteta alikiri endapo angepoteza jana timu ingekua ktk hali mbaya, kwaiyo jana ilikua lazima chelsea afe tu hamna namnaAnachojua kichwani kwake ni:-
1. Pombe
2. Sigara
3. Wanawake
4. Ukocha kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiView attachment 1659962
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah ares8 bhana yaani 8-2 ushasahau.Juzi? Hapana. Nimeanza kushabikia leo.
Vibonde wa Arsenal ni man u na chelsea. Ukitaka lia
Nilikuwa sikuzungumzii wewe au una ma ID mengi, anyway kuna shabiki maandazi anajijua anaropoka la kumfurahisha hata lisilo na ushahidi.Ushabiki wa maandazi timu ikifungwa ikiwa ya 15 kila msimu mnaama timu Mimi nimeshakuwa kwenye hii timu tangu mwàka 98 nipo form one mpaka nitakapoingia kaburini Mimi ni The Gunners always and forever!!
Tumetoka kukunyoosha hata mwezi huna.Aaaah ares8 bhana yaani 8-2 ushasahau.
Nyinyi ni vibonde. Na Arsenal hua tunadeal na hawa wawili man u na chelsea.Achana na huyo hao ndio wanaoitwa mashabiki maandazi. Anaropoka lolote la kumfurahisha.
Hapo sawa kumbe unakumbuka nilifikiri umesahau.Tumetoka kukunyoosha hata mwezi huna.
Ungekua una mtoto wa siku moja ile siku mnashinda 8 leo angekua na miaka mingapi?
Una hiyo memory tu ya kukufutia machozi kila tunapokunyoosha.Hapo sawa kumbe unakumbuka nilifikiri umesahau.
Hata wewe ushindi kwa man u ni memory au kwa akili yako hizo mechi ulizoshinda bado zinachezwa?Una hiyo memory tu ya kukufutia machozi kila tunapokunyoosha.
Victory
Kuifunga man u haiwezi kua memory. Huo ni utamaduni. Memory ni kuchukua ligi bila kupoteza hata mechi moja.Hapo sawa kumbe unakumbuka nilifikiri umesahau.
Record Man u vs arsenal head to head mechi 234 zimeshachezwa. Man u won 97, arsenal won 85, draw 52. Na largest victory ni 8-2.Kwa record hizi ushamjua kibonde.Kuifunga man u haiwezi kua memory. Huo ni utamaduni. Memory ni kuchukua ligi bila kupoteza hata mechi moja.
Toka nusu ya msimu uliopita umeona Lampard kaimprove nini ? Mara ngapi kafanya sub zenye +ve impacts, mara ngapi kafanya tactic switch kucounter ubora wa mpinzani? Yaani kuna mechi siikumbuki vizuri aliulizwa kwa nini Pulisic ulimuamisha upande mwingine jibu eti I was trying something different yaani bado anafanya experiments kwenye project za kusaka ubingwaChelsea fans msikate tamaa kirahisi hivi, jana mlikua na siku mbaya na Arteta alikiri endapo angepoteza jana timu ingekua ktk hali mbaya, kwaiyo jana ilikua lazima chelsea afe tu hamna namna
My opinion, lampard kocha mzuri ila apewe muda kujenga timu, ila yule Mendy jana karogwa si bure
Memory ya UEFA au siyo? No timu kubwa hua haziendi uefa kisha zikashindwa kuifunga timu waliyotoka kuifunga tano na kujikuta europa na kwenda kukutana na aliyewapiga sita.Record Man u vs arsenal head to head mechi 234 zimeshachezwa. Man u won 97, arsenal won 85, draw 52. Na largest victory ni 8-2.Kwa record hizi ushamjua kibonde.
Timu kubwa huwa zinakuwa na memory ya kushinda uefa champions league.
Kibonde wako na kashakuchomeka goli 8 hebu tupunguze comedy..Tukana unavyotaka ila mimi Castr ninasema Arsenal ana vibonde viwili man u na chelsea.
Hilo nimelisema hata kabla hatujacheza na everton. Usifikiri ni kwaajili ya ushindi
Zungumzia timu yako acha kurukaruka kama popcornMemory ya UEFA au siyo? No timu kubwa hua haziendi uefa kisha zikashindwa kuifunga timu waliyotoka kuifunga tano na kujikuta europa na kwenda kukutana na aliyewapiga sita.
Nasema hivi timu kubwa zinakuwa na memory ya kuchukua uefa champions league.Wewe unaongelea jambo la sasa. Kwani hiyo unbeaten yako ni ya sasa? Sasa wewe jivunie hiyo memory ya unbeaten ila timu kubwa zote zinajivunia memory ya usiku wa uefa wakinyanyua makwapa.Memory ya UEFA au siyo? No timu kubwa hua haziendi uefa kisha zikashindwa kuifunga timu waliyotoka kuifunga tano na kujikuta europa na kwenda kukutana na aliyewapiga sita.
Meku usikasirike. Ninayeongea naye anajua kwanini naongelea timu yakeZungumzia timu yako acha kurukaruka kama popcorn
Kwahiyo uefa umenyanyua sasa? Unakumbuka hata mara ya mwisho kuchukua uefa?Nasema hivi timu kubwa zinakuwa na memory ya kuchukua uefa champions league.Wewe unaongelea jambo la sasa. Kwani hiyo unbeaten yako ni ya sasa? Sasa wewe jivunie hiyo memory ya unbeaten ila timu kubwa zote zinajivunia memory ya usiku wa uefa wakinyanyua makwapa.
Bob vibonde hubahatisha pia. Kwani umeona timu ndogo ngapi zinapata goli nyingi kwa timu kubwa? Dortmund katoka kufungwa tano na nani?Kibonde wako na kashakuchomeka goli 8 hebu tupunguze comedy..
Kumbe nabishana na mtu usie na record, kwa kifupi wewe ni shabiki uchwara(maandazi).Kwahiyo uefa umenyanyua sasa? Unakumbuka hata mara ya mwisho kuchukua uefa?
Acha kuvuta bangi mbichi, Red Devil hajawahi kuwa kibonde kwa Ars8, hata bikra ya unbeaten United ndio alikuvunja..Bob vibonde hubahatisha pia. Kwani umeona timu ndogo ngapi zinapata goli nyingi kwa timu kubwa? Dortmund katoka kufungwa tano na nani?