Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Washinde mechi zingine 3 au 2 mfululizo la sivyo watakuwa ni washuka daraja wa EPL wachangamfu tu, tunza huu ujumbe akilini mwako.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
James,chilwel,kovacic wote leo hawakupaswa kuanza same to abraham
Sema sisi mashabiki endapo wangeanzia bench halaf matokeo yangekuwa haya haya tungelalamika kwanini hakuwaanzisha
 
So Abraham auze timu kwa Matajiri wengine au nasi tuwe wavumilivu kama Arse8?

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Kesho mtaani kutakuwa shwari nitatembea kifua mbele tumewanyamazisha vibonde wetu kama Man U naye ni kibonde wetu ninajichumia tu pointi tatu!!
 
Leo kumfunga Arsenal ni lazima hata kama form iko chini. Bunrley na Brighton wakishinda Arsenal itakuwa rasmi kwenye nafasi ya 17. Position moja tu kutoka Relagation zone
Sawah.
 
Na hawa ng'ombe kwa jinsi wanavyoshuka kwenye msimamo wanaporomoka kwa kasi wanaweza kujikuta wameangukia Ligi ya bongo na wapo chini ya Ihefu FC

#COYG
#3-1
#BUKAYO SAKA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…