Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Acha hizo brazaLeo kumfunga Arsenal ni lazima hata kama form iko chini. Bunrley na Brighton wakishinda Arsenal itakuwa rasmi kwenye nafasi ya 17. Position moja tu kutoka Relagation zone
We shall talk laterYan leo hakuna kufanya uchambuzi mi naona kama tunacheza mechi ya FA dhidi ya leyton Orient
Huyu referee simpendi
Huyu mbuzi kenge mkubwa huwa anaichukia Chelsea nahisi kuliko timu yoyote EPL.
Mnaleta dharau sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Game ya leo ni kheri kuwaachia kina Gilmour waendelee kupata exposure kuliko kuwachosha kina Kanté.
Siyo dharau hiyo ndio inawastahili wao. Tukiweka full mkoko wanaweza kutubebesha mzigo wa lawama dunia nzima ikatuchukiaMnaleta dharau sio [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ila huyu hajamzidi Anthony Taylor...tena ni Manchester born ...huyu ndo alichezesha game ya fainali FA cup