Mendy hana shida, Chelsea shida yake kubwa tusipate points 3 ni kule mbele baada ya Ziyech kuumia na ndio maana wengine humu walisema tuingie sokoni kununua winga, Ziyech na Pulisic hawatoshei kwa sababu ya majeruhi ya mara kwa maramendy auzwe tena??
huwezi kua serious hata kidogo makosa ya mabeki lawama abebeshwe kipa?
Huyu dogo amekutana na striker hawajui kutumia cross zake vizuri. Ila angekuatimu kama Spurs, Liver au Everton angekua na assist kibwena mpaka sasa.Dah, ila James namwelewa sana aisee.
Kivipi? Athletico ni timu ya mpira wa miguu ambao matokeo yake huamuliwa dk 90. So tunasubiri game. Kumbuka mpira ni mchezo wa makosa. Unaweza kuwa bora na ukafungwa. Ukifanya makosa mwenzako akayatumia umeumia.Chelsea imeshajikatia tamaa kabla hata hawajaingia uwanjan[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Semion atawamaliza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa leo Leeds akaze kadri itakavyowezekana ili atleast gap lipungue
Leeds anakaza kweliSasa leo Leeds akaze kadri itakavyowezekana ili atleast gap lipungue
Daah yan ni noma ndani ya dakika 5 mtu kashakula 2[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unaombea wenzio njaa
Arsenal kashatuongezea burudani.
Tukutane kwa Leeds kesho, then kivumbi chenu Jumatatu.
Mkuu huo ndo ukweli kama utaki basi[emoji23][emoji23][emoji23]Huo mwaka 1978 ndio kwanza ulikua kwenye zipu ya baba yako, ana kufunga na kukufungua.
1998 mimi naanza kushabikia soccer, wewe unakunya mavi kwa mafungu tu, unakunya hapa unainuka unakunya pale unainuka.
Sasa leo Leeds akaze kadri itakavyowezekana ili atleast gap lipungue
Kwa nature ya majeruhi ya VVD ni msimu mzima, hata ikitokea akawa amepona around March au April, sidhani kama kocha ata risk kumchezesha msimu huu.
Lampard na Ole wako kwenye learning curve, huwezi jua wata peak muda gani, though naona kama Ole graph yake haieleweki, Lampard naweza mpa benefit of doubt kwamba atakuja kuwa vizuri.
Atletico hawahawa waliompiga liva nje ndani ndo chelsea muitoe????Kivipi? Athletico ni timu ya mpira wa miguu ambao matokeo yake huamuliwa dk 90. So tunasubiri game. Kumbuka mpira ni mchezo wa makosa. Unaweza kuwa bora na ukafungwa. Ukifanya makosa mwenzako akayatumia umeumia.
Haya ni mambo ya kawaida sikupaswa kuyasema, ila inabidi nikukumbushe!
Umeanza kuangalia mpira juzi? Mbona kuna scenario complex kuliko hii?Atletico hawahawa waliompiga liva nje ndani ndo chelsea muitoe????
Atletico hawahawa waliompiga liva nje ndani ndo chelsea muitoe????