Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Havertz tumepigwa tena ngumi za uso

Huyu Werner ni suala la mda tu

Lampard hafai kuwa Chelsea

Ata mniite plastic fan lakin ukweli ndio huo.

Mm naomba tupigwe mechi 10 mfululizo ili kibiyongo Lampard aondoke.
Papaa GX pole sana mkuu, naona umepiga maksi sorry mask.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Havertz tumepigwa tena ngumi za uso

Huyu Werner ni suala la mda tu

Lampard hafai kuwa Chelsea

Ata mniite plastic fan lakin ukweli ndio huo.

Mm naomba tupigwe mechi 10 mfululizo ili kibiyongo Lampard aondoke.
Vipi tumletee pep au ole??
 
Havertz tumepigwa tena ngumi za uso

Huyu Werner ni suala la mda tu

Lampard hafai kuwa Chelsea

Ata mniite plastic fan lakin ukweli ndio huo.

Mm naomba tupigwe mechi 10 mfululizo ili kibiyongo Lampard aondoke.
Kaze ni bora zaidi ya Lampard na Arteta
 
Hahaaa tuliza mshono huu ni mwanzo tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Timu Kama hii, harafu inasimama mbele ya wanaume et inaweza kumtoa semion kwenye knockout stage


Top four ndio mnaiaga hivo


League ni ngumu kweli kweli
 
Acha masikhara.

Leo tu?
 
Umesema Lampard ki mbuni ni nini?
 
Maplastic ya humu yanachekesha. Mengine yameuchuna yanazunguka zunguka tu humu kuingia hayataki.

Mengine yapo bize kusema Lampard out.

Mara Kai tumepigwa na werner ni kinabo.

Kai amegewa performance 5.9

Werner 6.5

Na Giroud 6.5

Lakini maajabu yake watu wanamlilia giroud wanaona werner kacheza makida makida.

Kuna kipindi lampard alikua anacheza 4 2 3 1. Werner akawa anacheza kama lmf mi nikasema werner hawezi onyesha potential kwa huko anapowekwa aliperform poa leipzig kwakua aliwekwa katikati na yusuf.

Hana skills za kumuwezesha kuwatoka watu so huwezi kumuweka mbali na goli. Jana kawekwa mbali na goli halafu kacheza kama rwf. Means kwa jana werner alikua ameandaliwa kutoa krosi tu.

Rwf hucheza left footed as anaweza kuassist/ cross na kuscore. Right footed ataweza kucross tu na siyo kuscore.

So kwa hiyo overall performance werner kafanya vizuri.

Tuje kwa kai. Kai ni AM una mchezaji kama huyu huwezi kumuweka mbali na forwards. Ndiyo maana katika 4 2 3 1 kai alikua anaperform vyema sana as ilikua nyuma yake kuna dmf wawili kisha yeye ni kupokea mpira kumtafuta tammy & co.

4 3 3 ya jana nafikiri ni ya kuhold angecheza 4 3 3 attacking (dmf wawili nyuma na amf) nafikiri kai angeperform poa.

Lampard siyo kocha mbaya. A guy pulled out top four huku lile gunia la misumari likionekana hakuna mwenye hamu nalo. Ni mapema sana kusema lampard ni kiazi.

Sijaangalia mpira ila ni kwa kuangalia formation na performance ratings considering previous games nilizoangalia.

Naweza kua wrong
 
Ila nyinyi nawapenda
 
Kwa majeruhi alionao hauoni kama amefikiri zaidi kuliko sisi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…