Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Then mkaishia wapi?Mkuu naona mshaleta visingizio mapema
Psychologically tayari mmeshatolewa, kwa sababu mmekata tamaa mapema dhidi ya mpinzan wenu
Man City vs Real madrid (16 bora msimu umeopita )
Unafikili kumtoa Madrid ni rahisi
Achen kulia lia
Mashabiki wapuuzi ndio wako ivyo ila kwa sisi solid fans huwa tunasema mlete yoyote. Hata wao Atl Madrid wanapata tumbo joto baada ya kusikia tumepangwa naoMkuu naona mshaleta visingizio mapema
Psychologically tayari mmeshatolewa, kwa sababu mmekata tamaa mapema dhidi ya mpinzan wenu
Man City vs Real madrid (16 bora msimu umeopita )
Unafikili kumtoa Madrid ni rahisi
Achen kulia lia
Tuombe injury zisiwepoInabidi kushinda hiz game kubwa ili watu waanze kutuchukulia serious.
Naimani atletico tunamtoa tukiwa full fit
Nyie mliishia wapi?Then mkaishia wapi?
Unajisifia kumtoa Madrid ambaye alikua keshajifia. Mi nilitolewa na bingwa hatua ya mtoanoNyie mliishia wapi?
Unajisifia kutolewaUnajisifia kumtoa Madrid ambaye alikua keshajifia. Mi nilitolewa na bingwa hatua ya mtoano
Diego Simeone Mnyamaaaaaa klopp hatamsahau
Nyie mnajua nin sasa kuhusu ucl, mmechukua enzi hizo za kina drogbaAcha kutupotezea muda nyie city mnajua nini kuhusu UCL? Sisi tuna kombe la UCL tunafahamu tunachokiongea hapa.
We nenda kabishane na Arse8, Tote na mafutuhi wengine.
Kuhusu UCL Tutabishana hapa liverkuku, nyumbu, Bayern, Madrid, Barca.
Lamps amesema pulisic atakuwepo leoTukachukue POINT 3 muhimu. No mercy
Werner - Giroud - Mount
Harvetz - Kante - Kovacic
Chilwel - Zouma- Thiago - JamesView attachment 1650593
Hata ile na Everton alisema atakuwepo mara injuryLamps amesema pulisic atakuwepo leo
Ila huenda akaanza au akaanzia bench
Kuna movie ya mhongkong anaitwa Jacky chan inaitwa drunken master yaani anajifanya kalewa lakini msogelee uone, ndo mfumo lampard atatakiwa autumie kwenye 433 yakeChelsea imeshajikatia tamaa kabla hata hawajaingia uwanjan[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Semion atawamaliza
Timu ikishakua na huyo lele mama, tayari tushapoteza.Tukachukue POINT 3 muhimu. No mercy
Werner - Giroud - Mount
Harvetz - Kante - Kovacic
Chilwel - Zouma- Thiago - JamesView attachment 1650593
Shida yetu sisi wabongo huwa hatupendi kuwapa watu nafasiTimu ikishakua na huyo lele mama, tayari tushapoteza.
Mendy
Reec james zouma thiago chilwel
Kai kante mount
Werner giroud pulisic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajisifia kutolewa
Mleteni huyo
Buyern uone Kama hajafa
Sisi tunamkula yeyote