Karibuni sana kina Mvina,Invisible,Maxence,Rev Kishoka,Al Junior Tz,Rev Masanilo,AB Tchaaz msikimbie tena
ehehe gud moning wakuu
Muda wa kulala klorokwini nenda kalale acha fujoehehe gud moning wakuu
Hahahahahaahaaaa mbona hata Man U nao huwa wanapark siku hizi lolacha uchokozi kloro... wape pole wenzako.. yaani lile bus wanalopaki golini likienda service... watu wanachungulia nyavu kama kawa...
acha uchokozi kloro... wape pole wenzako.. yaani lile bus wanalopaki golini likienda service... watu wanachungulia nyavu kama kawa...
Muda wa kulala klorokwini nenda kalale acha fujo
Hahahahaaaa mboana na nyinyi mnakulaga za kutosha tu au kwa kuwa leo tumekosea?
Ngoja tutakuona siku ukicheza
Ab-Titchaz ... ! hehehehe ....! hongereni goli 6 si haba! :rockon: it was qpr away though! :nono:
sad sad sad night...! bt yeah we have th CL and FA to our advantage...our minds n hearts r comitted to that! -on b1/2 of di Matteo.