Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Taratibu mzee baba maana washabiki wengine hatukupiga kelele Liverpool ilipofungwa 7-0 na Aston Villa na hata mkifungwa huwa hatuna vihere here vya kuja kwenye uzi wenu.Baada ya kelele za baadhi ya washabiki humu kuomba kukutana na Bayern nilianza kujiuliza ni game gani kubwa Chelsea amecheza akashinda!
Maana ana draw ya United na Tottenham, kafungwa na Liverpool, bado hajacheza na Leicester, Man City na Arsenal (huyu nimemweka kiheshima tu).
Ziyech itamgharimu muda gani hadi apone?Hyo had mwsho wa msmu
Lampard juz alisem kutokana na majeruh yule dogo anjorin ataanza kutumika ad ziyech atakapo pona
Huyu auzwe tu asituletee shida baadayePulisc nae hyupo fit, apo upnde wa Kai awez maliza dkik tisini
Gallagher is currently West Brom's best player, bright spot in all the trainwreck. #CFCConor Gallagher
Huyu dogo ni mali ya Chelsea yupo kwa mkopo West Brom anakiwasha kweli. Anaonekana kuja kuwa moja ya midfield wazuri duniani. Nacheki game yao hapa dhidi ya Newcastle anacheza vizuri sana lakini kocha kiazi kamfanyia sub haijapita hata dakika wamewekwa goli.
Walikua nyuma kwa goli moja wamepambana wakasawazisha na walikua wanashambulia sana lakini toka atoke wamepigwa goli na Newcastle wameshikilia mchezo
Newcastle 2-1 WBA. View attachment 1648171
Yes!!! Yes!!Gallagher is currently West Brom's best player, bright spot in all the trainwreck. #CFC
Conor Gallagher vs Newcastle:
88% pass accuracy
4 shots
2 crosses
100% dribble success
4/6 ground duels won
2 tackles
Impressive once again.
Taratibu mzee baba maana washabiki wengine hatukupiga kelele Liverpool ilipofungwa 7-0 na Aston Villa na hata mkifungwa huwa hatuna vihere here vya kuja kwenye uzi wenu.
Kila timu ipambane na hali yake.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Wewe hukuja wenzako walikujaTaratibu mzee baba maana washabiki wengine hatukupiga kelele Liverpool ilipofungwa 7-0 na Aston Villa na hata mkifungwa huwa hatuna vihere here vya kuja kwenye uzi wenu.
Kila timu ipambane na hali yake.
Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
Jamani nyinyi si mna kikosi kipana? Sasa usajili wa nini wajameni?Bila usajili wa Winga atufiki popote, winga zetu kila siku ziko gereji
Ila we jamaa bwana.Liverpool aliwakosa wachezaji kibao kwa injuries still alikuwa anashinda kibingwa tena mechi ngumu kwa kuwatumia madogo + mfumo bora + mbinu bora za Klop
Chelsea bado sana mfumo wa uchezaji, bado sana mbinu za mwalimu, bado sana quality players TUNABAHATISHA
mkuu Pulisic alikua moto sana msimu uliopita ikn msimu huu hajaufaidi sababu ya majeraha na nafasi yake anacheza Timo,hata kama unazungumzia angereplace nafasi ya Ziyech bado sio jambo la kutegemea sana kwa sababu mbili (1)anamudu zaidi LW kuliko RW (2)hajarudisha form yakeLeo kuwakosa Pulisic na Ziyech kwa pamoja imetucost
Hao unakuta wanafurahia mikeka na siyo timuMimi niliwahi kusema Chelsea ina plastic kibao. Kuna mmoja alikua uzi wa liva anatukana watu walipopigwa goli moja akayeyuka juu kwa juu na huku wote wamepotea.
Wametususia maiti.
Chelsea ina plastic fans tu. Mwingine juzi anasema eti level yao kubwa wapinzani wa chelsea ni Madrid, Barcelona na Bayern. Leo anasema hua wanashinda kwa kubahatisha.
Hii timu ina mashabiki wanaoamini utatuzi ni usajili tu. Wiki nyuma mtu anakuambia wana kikosi kipana (na no kweli) leo anasema inabidi wasajili winger. Unabaki unashangaa "Huyu anaelewa nini juu ya kikosi kipana?" Hapo hapo anasema mfumo (yaani 4 3 3) imewaangusha wakati huu mfumo wametumia mara nyingi na wameshinda.