Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Hayo majamaa yananiboa sana kuvamia nyuzi zisizo zao kwa vichambo kibao kama waimba taarabu na singeli, sijui huwa wana matatizo gani hasa ya akili ktk bongo zao?majiran zetu mpira uwanjan 0% ila midomo walopewa ni ya dada zao
Chuki huleta upofu. Fungueni macho acheni chuki. Mpira uliochezwa na attacking bado hamuoni chochote? Ukiacha blunder za Tammy hukuona mpira uliochezwa na Hakim au Timo? Basi hata kina Kova na Kante nao hukuona juhudi zao?We jamaa mpira unaujua. Kuna watu watakuja kumsifia Lampard hapa kuwa kacheza vizuri. Kumbe hamna kitu. Pasi zinapgwa na mabeki tu.
Kuna timu ukipaki basi utasakamwa mpk utaona chamoto, sio Lampard hajui mbinu zozote. mwenzio akipaki basi inamaana kashakubali kufungwa.
Jana Lampard kashindwa kabisa kuficha upumbavu wake kwa kumchezesha Abraham hadi dkk za 79 ndipo aingizwe Giroud kwa utopolo alioucheza Abraham.Abraham ni utopolo tu
Ila kuwa muazi Abraham Ni utopolo mtupuChuki huleta upofu. Fungueni macho acheni chuki. Mpira uliochezwa na attacking bado hamuoni chochote? Ukiacha blunder za Tammy hukuona mpira uliochezwa na Hakim au Timo? Basi hata kina Kova na Kante nao hukuona juhudi zao?
Achana nao hao mashabiki oyaaa oyaaa jana tumecheza mpira mzuri sana, kila mchezaji ametendea haki nafasi yake. Hakuna aliyezingua abraham mwenyewe alikuwa anawachachafia pale mbele, mabeki walibana haswa wangemsahau tuu angewafunga. Kama sio Abraham kuumia angetupia lazima. Nachompenda Abraham akikosa goli anaonyesha sura ya kusikitika sana kutoka moyoniChuki huleta upofu. Fungueni macho acheni chuki. Mpira uliochezwa na attacking bado hamuoni chochote? Ukiacha blunder za Tammy hukuona mpira uliochezwa na Hakim au Timo? Basi hata kina Kova na Kante nao hukuona juhudi zao?
Tammy jana kazingua pakubwa na Lampard kamchelewesha kumtoa. Kanikera sanaIla kuwa muazi Abraham Ni utopolo mtupu
Kweli mkuu lampard na wachezaji wanastahili credit ...kuwazima son na Kane most lethal strikers in EPL KWA sasa linahitaji credit ...bado ni developing coach atakuwa vizuri ..guardiola na city yake kala chuma 2 wiki iliyopita.kinachomsumbua lampard ni English player favouritism ndo weakness. YakeMnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Lampard anastahili pongezi kwa kudeal vizuri na attacking force ya Tot Spurs maana sikuelewa kama Kane yupo uwanjani na huyo Son aijui alipotelea wapi kwa hapo nampa pongezi nyingi Lampard.
Pia uwepo naTammy ulitunyima ushindi mapema kwa sababu toka mwanzo nilisema game hii ilihitaji striker anae weza kuhold mabeki hata wawili kwa maana itawapa nafasi kina Timo na Hakim kufunga au kujitengenezea nafasi wao wenyewe lakini uwepo wa Tammy unapunguza ufanisi na ndicho kilichotokea jana. Lampard alizembea sana kufanya sub ya Tammy Spurs walikua wanafungika. Lakini yote kwa yote naamini bado anajifunza na kadritunavyoenda atarekebisha makosa yake.
Chuki huleta upofu. Fungueni macho acheni chuki. Mpira uliochezwa na attacking bado hamuoni chochote? Ukiacha blunder za Tammy hukuona mpira uliochezwa na Hakim au Timo? Basi hata kina Kova na Kante nao hukuona juhudi zao?
Mumeshinda ngapi?Chuki huleta upofu. Fungueni macho acheni chuki. Mpira uliochezwa na attacking bado hamuoni chochote? Ukiacha blunder za Tammy hukuona mpira uliochezwa na Hakim au Timo? Basi hata kina Kova na Kante nao hukuona juhudi zao?
Wewe mkuu hukuangalia mpira live au una biasnessMpira umechezwa mkuu sana tu, kiungo yenu imecheza sana na mpira, sana.
Mimi nazungumzia kutengeneza nafasi za magoli, kucheza ukiwa na malengo ya kushambulia, kutafuta goli.
Mnaomlaumu Abraham kwani Giroud kafanya nini cha maana pale mbele? Nyie mnajua mpira kuliko kocha? Acheni ujinga Abraham katumia vizuri nafasi alizopata sema mipira ya cross ilikuwa inamjia kasi sana huwezi kupiga kichwa kizuri.Wewe mkuu hukuangalia mpira live au una biasness
nafasi zilziotengenezwa ni za hatari only that bahati haikuwa ya kwetu
Tammy Abraham katuuza, hawezi krosi za kasi ya akina Ziyech na Reece
Enzi hizo naishabikia haikuwa nyumbu. Ndiyo ile ilitwaaga mataji 20 ya epl ndani ya miaka 30 tu. Acha hii ya hawa matozi akina Martial.Haahaaa Kumbe we ni nyumbu ...mi nilujua arsenyeto
Hamna kitu pale. Waingereza wengi overated.Abraham...?
Nafasi tano anashindwa pata hata moja, anaangukaanguka tu kwenye box
mapea tuuMtu Kesha lalwa mbili ukoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mapendekezo yangu hapo angecheza Timo au Giroud, huyu Abrahama apewe muda mdogo akomae, naona hata Odoi ni bora kuliko Abraham hata kama wanacheza namba tofauti, Odoi angecheza nafasi ya Pulisic na Timo akacheza no. 9, matokeo jana yangekuwa tofautiMnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Lampard anastahili pongezi kwa kudeal vizuri na attacking force ya Tot Spurs maana sikuelewa kama Kane yupo uwanjani na huyo Son aijui alipotelea wapi kwa hapo nampa pongezi nyingi Lampard.
Pia uwepo naTammy ulitunyima ushindi mapema kwa sababu toka mwanzo nilisema game hii ilihitaji striker anae weza kuhold mabeki hata wawili kwa maana itawapa nafasi kina Timo na Hakim kufunga au kujitengenezea nafasi wao wenyewe lakini uwepo wa Tammy unapunguza ufanisi na ndicho kilichotokea jana. Lampard alizembea sana kufanya sub ya Tammy Spurs walikua wanafungika. Lakini yote kwa yote naamini bado anajifunza na kadritunavyoenda atarekebisha makosa yake.
Nimekubali ila sijui umetumia kigezo gani kunifananisha na Arsenal. Timu yangu ndiyo bora zaidi pale London.Angalia huo msimamoMashabiki wa arsenal mnapenda kujipa moyo sana kwamba ndo timu ambayo haijawahi kushuka daraja.angalia sasa mnavyoumbuka.
No research no rights to speakView attachment 1637991
Kwakweli jana kwa mbali nimeanza kuiona chelsea ninayoisuburia sasa.. [emoji23] [emoji23]Chuki huleta upofu. Fungueni macho acheni chuki. Mpira uliochezwa na attacking bado hamuoni chochote? Ukiacha blunder za Tammy hukuona mpira uliochezwa na Hakim au Timo? Basi hata kina Kova na Kante nao hukuona juhudi zao?