Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unajaribu kupumbaza wajinga siyo? Baada ya kuona unaumbuliwa ukaamua uje na mbinu ya kishamba? Hauwezi kabisa ku-neutralize ukweli ulioundika awali
 
Unajaribu kupumbaza wajinga siyo? Baada ya kuona unaumbuliwa ukaamua uje na mbinu ya kishamba? Hauwezi kabisa ku-neutralize ukweli ulioundika awali

Wewe Jamaa usiwe na Kichwa ngumu haya na hili pinga! Au nayo hii ni mbinu ya kufuta Post yangu ya Awali?

Kama hujui Mimi niliajiriwa mwaka 2010 Tabora.



 
Shefield United inayoshika mkia imefungwa jumla ya Goli 15, Liverfools mpaka sasa imeshafungwa goli 16, mpaka ligi iishe mtakuwa mmeloweshwa vya kutosha, Ubingwa safari hii msahau
THIS IS EPL​

Natunza hii Post
 
Hello Ladies and Gentleman

SPECIAL INVITATION KWA MKODISHO FC

Familia ya Liverpool inawaalika katika Mtanange safi kabisa unaoendelea Muda huu.

ANGALIZO: Mambo yakiwa mazuri basi nitarudi hapa kwa kasi ya Ajabu, Lakini mambo yakiwa Mabaya basi leo hamutoniona tena hapa self Ban inanihusu.
 
Mshafeli ngoja kesho tuchukue nafasi yetu
 
Hiyo ID ya mtu anayesimamia duka unalouza ndo unaileta hapa kurinishia? Wewe fanya kazi ya kuuza panadol hapo

TMDA wanasimamia duka la Dawa? Oh my God πŸ˜…πŸ˜…
Kumbe mweupe kiasi hicho! Hiyo ndiyo shida ya ujuaji mwingi.
Halafu ID yake namtunzia mimi sio? πŸ˜…πŸ˜…
 
MKODISHO FC wameshajipatia Tamaa kuwa wanabeba Ubingwa msimu huu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuwe natafuta kujua kwanza CV za hawa akina Dully, unaweza ukamkuta ni msela au teja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…