Mnashinda nini?Hakuna anaekasirika,bora kukodosha halafu tunashinda kuliko nyie kila siku maumivu.
Endelea kujifariji
Hii ni takataka[emoji706]Chelsea have played 999 matches under Roman Abramovich ownership.
The match against Tottenham will be our 1,000th #CFC
608 wins,
215 draws,
176 losses,
61% win percentage.
1,903 goals scored,
896 goals conceded
Trophies won under Roman
Premier League
2005, 2006, 2010, 2015, 2017 [emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
Champions League
2012 [emoji471]
Europa League
2013, 2019 [emoji471][emoji471]
FA Cup
2007, 2009, 2010, 2012, 2018 [emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
League Cup
2005, 2007, 2015 [emoji471][emoji471][emoji471]
Community Shield
2005, 2009
Most appearances
John Terry 599
Frank Lampard 547
Petr Cech 494
Cesar Azpilicueta 395
Didier Drogba 381
Most goals
Frank Lampard 196
Didier Drogba 164
Eden Hazard 110
Willian 63
Salomon Kalou 60
Most clean sheets
Petr Cech 228
Thibaut Courtois 58
Carlo Cudicini 55
Kepa Arrizabalaga 33
Henrique Hilario 18
Number of major trophies won by English clubs during the Roman Abramovich era
Chelsea 16
Man Utd 14
Man City 11
Liverpool 7
Arsenal 6
Birmingham 1
Leicester 1
Middlesbrough 1
Portsmouth 1
Swansea 1
Tottenham 1
Wigan 1
Chelsea Academy trophies
FA Youth Cup
2010, 2012, 2014, 2015, 2016, 2017, 2018 [emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471][emoji471]
UEFA Youth League
2015, 2016 [emoji471][emoji471]
Premier League 2
2014, 2020 [emoji471][emoji471]
Premier Reserve League South
2011 [emoji471]
Premier Reserve League National
2011 [emoji471]
Under-21s Premier League
2014 [emoji471]
Chelsea Women’s trophies
FA Women’s Super League
2015, 2018, 2020 [emoji471][emoji471][emoji471]
FA Women’s Super League Spring Series
2017 [emoji471]
Women’s FA Cup
2015, 2018 [emoji471][emoji471]
Women’s League Cup
2020 [emoji471]
Women’s Community Shield
2020 [emoji471]
Mzee tunashinda games sana na kwa magoli mengi sio nyie goli lenu bora LA mwezi ni ile penalty ya aubaMnashinda nini?
Jamaa una uwezo mdogo sana kichwani. Na sijui kama huwa unapitia tena ulichoandika kuona ujinga wako ulivyo mkubwa. Chelsea as a bland pamoja na pitch ni mali ya mashabiki. What's wrong club kubaki mikononi mwa mashabiki ili kuizuia isiporwe na mtu mmoja kwa mtakwa binafsi. Angalia Arsenal jinsi tajiri anavyowatesa mashabiki miaka 17 hamna hata cha kujitetea mpo mnapelekeshwa kama mbuzi tu. Na yule jamaa atawashusha daraja kabisa na hata akiamua kuibadilisha timu yenu jina anaweza kuiita hata washika manati lakini siyo Chelsea. Chelsea mashabiki ndiyo wenye maamuzi hayoUkweli unaokereketa hiki kikundi cha wakwavi hakina tofauti na timu za ndondo cup. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Misosi fc, kibada one, ukwamani, mabibo market, abajalo, france rangers, abajalo, sifa united, wabishi, nondo, n.k na jamaa uvumilivu ukimshinda kwa vikwazo alivyowekewa ataipeleka timu yake islael itaitwa cheltako tel aviv ikabuluzwe na kina maccabi haifa, jiandaeni kisaikolojia kufuatilia ligi ya kiyahudi
Mnashińda dhidi ya nani? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Relegator...Mzee tunashinda games sana na kwa magoli mengi sio nyie goli lenu bora LA mwezi ni ile penalty ya auba
HahhahahahahajajajamJamaa una uwezo mdogo sana kichwani. Na sijui kama huwa unapitia tena ulichoandika kuona ujinga wako ulivyo mkubwa. Chelsea as a bland pamoja na pitch ni mali ya mashabiki. What's wrong club kubaki mikononi mwa mashabiki ili kuizuia isiporwe na mtu mmoja kwa mtakwa binafsi. Angalia Arsenal jinsi tajiri anavyowatesa mashabiki miaka 17 hamna hata cha kujitetea mpo mnapelekeshwa kama mbuzi tu. Na yule jamaa atawashusha daraja kabisa na hata akiamua kuibadilisha timu yenu jina anaweza kuiita hata washika manati lakini siyo Chelsea. Chelsea mashabiki ndiyo wenye maamuzi hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna jamaa hapo juu anasema wao mashabiki wanamiliki kiwanja na jina, alafu Roman anamiliki wachezaji, nimecheka sana dah,MKODISHO FC
- NO Stadium
- NO Name
- NO History zaidi ya ile ya kushuka daraja mara 6 (1910, 1924, 1962, 1975, 1979 and 1988).
Hawa ndiyo Mkodisho wanaojiita Timu kubwa.
Tabia za wanaume wanaoingiliwa kinyume na maumbile yao. Jikaze mtoto wa kiume, shobo zitauponza mnyeo huo[emoji41]Mkodisho mnaendeleaje na harakati za kimaisha? [emoji23]
Basi unawashwaaaa mwenyewe, wakunaji hatutaki kukukuna kipele chako kidogo.MKODISHO FC
- NO Stadium
- NO Name
- NO History zaidi ya ile ya kushuka daraja mara 6 (1910, 1924, 1962, 1975, 1979 and 1988).
Hawa ndiyo Mkodisho wanaojiita Timu kubwa.
Haahaaa mkuu anahangaika kweliBasi unawashwaaaa mwenyewe, wakunaji hatutaki kukukuna kipele chako kidogo.
Mnashińda dhidi ya nani? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Relegator...
Tumekodisha sisi ila kuteseka mnateseka nyie. Duh!MKODISHO FC
- NO Stadium
- NO Name
- NO History zaidi ya ile ya kushuka daraja mara 6 (1910, 1924, 1962, 1975, 1979 and 1988).
Hawa ndiyo Mkodisho wanaojiita Timu kubwa.
Mwamba shida ipo kwenye elimu ya maswala ya kifedha na sheria Kinggwaba na dully nitaje wazi ni LAYMEN kwenye maswala haya kama wanahitaji ufafanuzi wa umiliki wa Chelsea waulize tu .watu hawajui maana ya Parent company ,controlling parties ,subsidiaries wanabwatabwata humu jukwaani ,kiufupi wapuuzeni shida ni elimu elimu mpaka umejua maana ya parent company ,controlling parties na subsdiaries hauwezi discuss Chelsea plc .Au Group of company yoyoye .itoshe kusema Blue is the colourWewe hujafafanua vizuri kwa sababu za kishabiki na hutaki kwa makusudi kunyoosha maneno
Kwa ufupi structure ya Chelsea ni complex na Liverpool hamuwezi kuijua kwa sababu Liverpool is a very small entity na hizi complexity za Chelsea huko hakuna
- Abramovic anamiliki Chelsea FC PLC - Yeye hamiliki Chelsea FC PLC bali anamiliki Fordstam Limited ambayo ndio mmiliki wa Chelsea FC PLC
- Mashabiki (CPO) wanamiliki Uwanja na Jina - sawa ambayo CPO inamilikiwa na Chelsea FC PLC
- CPO wamewakodisha uwanja Chelsea FC kwa miaka 199 - ni sawa kuwakodisha kwa sababu wao wana legitimacy kisheria waliopewa na Chelsea FC PLC kumiliki kiwanja kwa niaba ya Chelsea FC PLC, mwishoi wa siku mapato ghafi yanarudi Chelsea FC PLC
- Abramovic hana haki kwenye uwanja na Jina la Chelsea - Mambo ya kisheria hutaweza kuelewa hasa ukiwa Bongo. Yeye yuko mbali sana kimprotokali na CPO na hataweza kufanya hivyo kwa sababu za kisheria.
Taasisi inavyozidi kuwa kubwa inapitia kwenye complexity kama hizi zinazoforce kugawanywa kisheria na ikisha kuwa hivyo haviingiliani isipokuwa kwa taratibu zilizowekwa kisheria