Tatizo ni kwamba nyinyi ni kikundi cha wakwavi sio FCHivyo vimji tudogo kama Liverpool na Manchester unataka kulinganisha na London, ni kama Lushoto na Dar es salaam
Huwezi kukuta klabu kinatumia jina London city kama manchester city au eti timu inaitwa London FC kama inavyoitwa Liverpool FC. London is Great
1 London = 1,000 Liverpool
Hiyo comparizon uache mara moja
Tatizo huna hojaWewe uashabiki wako ni wa kikulima mno
Nimekuelewa mkuuSio wote tulkuw hatujui ndomn ata ukianglia post zangu sijabisha so conclusion ya kusem watu hatujui sio sahihi
Hawa ndio wanasababisha tunafungiwa internet kwa kudiscuss upuuzi, Arse888 ndio walichobak kushabikia hicho tu na unbeaten hamna kingine. Wanasahau wameshakua pombe ya ngomani.
Watu kama wewe ndio mnapendwa na Ngwaba kakuaminisha umejaa tayari. Hiyo mada aijajua imetokawapi ila nimesoma comment yake moja nikagundua chuki kubwa ndaniyake na anakulazimisha na wew utuchukie.Cheltyako hammiliki jina wala uwanja, mnamiliki vishundu vya kina RLC na ODOI
MKUU, mimi sio bendera fuata upepo... ukifukunyua makaburi utaona kuwa suala viwanja nimeshawahi kulizungumzia humu, ilă sio katika angle hii anayoiongelea ngwaba the [emoji146]Watu kama wewe ndio mnapendwa na Ngwaba kakuaminisha umejaa tayari. Hiyo mada aijajua imetokawapi ila nimesoma comment yake moja nikagundua chuki kubwa ndaniyake na anakulazimisha na wew utuchukie.
SINA CHUKI NA VIBONDE WANGU MKUU[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu kama wewe ndio mnapendwa na Ngwaba kakuaminisha umejaa tayari. Hiyo mada aijajua imetokawapi ila nimesoma comment yake moja nikagundua chuki kubwa ndaniyake na anakulazimisha na wew utuchukie.
Mbona Giroud umuzungumziiWakuu mbona tunashinda mno? Lampard aut
Mwenzio kakuita halafu kakuacha peke yako unarukaruka tu humu hujielewi, babada urudi kwnye uzi wako mkajadili jins ya kumshaur Arteta asishuke daraja, we upo kwnye uzi za watu unadiscus viwanja kwan we dalali.Huu ni mkasiriko, Wewe ndio umepanic
Hehehe watatafuta kila sababu[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa hivi wanaona pakumsemea Chelsea hapapo wameamua kuingia kwenye maswala ya viwanja [emoji23][emoji23]
Chelsea ndoinazidi songa mbele
MKUU, mimi sio bendera fuata upepo... ukifukunyua makaburi utaona kuwa suala viwanja nimeshawahi kulizungumzia humu, ilă sio katika angle hii anayoiongelea ngwaba the [emoji146]
[emoji23][emoji23][emoji23] Unatembea mulemule mkuu, sioni content mpya[emoji23] [emoji23] [emoji23] Gwambina moja ni sawa na chelsea 8 kudadadeki