Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivyo vimji tudogo kama Liverpool na Manchester unataka kulinganisha na London, ni kama Lushoto na Dar es salaam

Huwezi kukuta klabu kinatumia jina London city kama manchester city au eti timu inaitwa London FC kama inavyoitwa Liverpool FC. London is Great
1 London = 1,000 Liverpool

Hiyo comparizon uache mara moja
 
Hii taarifa ni ya 2005
Could Chelsea have to change their name? | Daily Mail Online
 
Subiri aje lembu uone atakavyojitetea mwanzo mwisho kwa Makala hata za Shaffih Dauda 😂😂
Wambea wa BONGO BANA WANELEZEA VITU HATA VILE VYA KISHERIA KAMA WAKULIMA WA TURIANI
Kisheria jina likishasajiliwa mmiliki ni huyo anayeown kampuni, hizo stori zingine ni bulshit

MMiliki wa kiwanja ni non profit company inayomilikiwa na Chelsea PLC ambayo imepewa wajibu wa kusimamia hicho kiwanja, haya ni masuala ya sheria za makampuni na uendeshaji wa biashara, mtu asiye na hii elimu atapotosha tu

Maelezo zaidi kama hujui sheria na kiingereza pita kushoto
...............................................................................X.....................................................................X...............................................................................X.....................................................................

Chelsea FC PLC is the company which owns Chelsea Football Club. The ultimate parent company of Chelsea FC plc is Fordstam Limited and the ultimate controlling party of Fordstam Limited is Roman Abramovich.

Chelsea Pitch Owners plc is a nonprofit organization which is part of Chelsea Football Club, tasked with the upkeep of the stadium. It owns both the freehold of the Stamford Bridge stadium and the naming rights of Chelsea Football Club.
 
Jorginho akichezaga Dm lazima kuanzia dk 40 au after HT tutazidiwa na pengine kufungwa. JO ni takataka kabisa bora angetupwa kule Arsenal
Kiukweli Jorginho ni liability kwa team zinazo tu press Kaka...Haleti stability inayotakiwa kabisa.
 
Sevilla na Chelsea wafunzu round ya mtoano wakati bado mechi mbili mkononi
 
Haahaaaa Mwingine anakwambia njooni tuwaazime uwanja wetu wa zamani wa Highbury.....sasa cjui wana hisa kwenye hyo uwanja
Hawa ndio wanasababisha tunafungiwa internet kwa kudiscuss upuuzi, Arse888 ndio walichobak kushabikia hicho tu na unbeaten hamna kingine. Wanasahau wameshakua pombe ya ngomani.
 
Sub'hnaallah[emoji15]
 
Kwani umekasirika? [emoji23]
 
Sasa wewe uliyekuwa si Mbongo hapa JF unafanya nini? Si uende tu ukatafute hiyo Mihela! Watu wengine bhana! Wanamsubiri Shemeji kaingia Bafuni ndiyo wanabeba Simu yake kuandika utopolo hapa.
Hawa wengi wao wanapatikana humu cheltako
 
Habari za viwanja sijui umiliki sisi havituhusu, wahame wasihame sisi tunashabikia tu,ilimradi inatupa furaha hatujali, Hao Arsenal wana viwanja viwili lakini bado hawana furaha na timu yao! kila msimu wao ni kuchambia miba tu.
Wewe umejuaje kama hawana furaha. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ukweli ulivyo hili mlikuwa hamlijui
 
Pia ni wakati wakumkosoa Werner anapoteza umkini akiwa uwanjani

Next game na spurs ni mechi ngumu San so kwa Werner anahitji kuwa clinical has spurs wanavyojilinda so tabia ya kupoteza mipira tutakuj pigwa counter moj na goli
 
Huu ni mkasiriko,
Acha kupaniki, ni kweli ulichoambiwa unadiscuss upuuzi, sasa viwanja sijui umiliki sisi vinatuhusu nini? Sisi ilimradi tunashabikia tunafurahi baasiiiiiiii. hayo mambo ya viwanja tuwaachie wao.
Wewe ndio umepanic
 
Wewe umejuaje kama hawana furaha. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ukweli ulivyo hili mlikuwa hamlijui
Sio wote tulkuw hatujui ndomn ata ukianglia post zangu sijabisha so conclusion ya kusem watu hatujui sio sahihi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…