Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wale mashabiki fuata mkumbo hivi munajua timu munayoishabikia kweli? [emoji23]
 
Wao hawataki timu iondoke Stamford inatakiwa timu ibaki palepale , so wao ndo wanamiliki jina pia ukisikilza wachambuz pia wansem kuna business reasons pia zinazofany jamaa wakatae timu kuondok Fulham
 
Yule jirani alikubali kulipwa fidia so ishu ilibki kwa hao jamaa wao hawataki timu ihame kama uwanja utanuliwe palepale Stamford

Na waliombwa kuuza umiliki wa jina walikatas
 
Kama wanataka timu ibaki wamshauri mwenzao auze nyumba yake jirani na uwanja ivunjwe kupisha ujenzi wa upanuzi wa uwanja. Sasa wanagoma timu kuhama huku wanazuia maendeleo ndio nini sasa?
Mwaka huu ndo walikubali challenge ikaja kuwa ni pembeni mwa uwanja kun sehm kwa ajili ya rail way so utnuz wa uwanja inabidi usilete chngamoto mweny rail way hasa mitikisiko coz utanuz wa uwanja ulihusisha pia njia ya kutanua kwa kuchimba
 
Imekamilika ha ha haaaaa hata cku mkipata UEFA mtaajitaje???

Ligi mna mwaka wa 18 sasa

Hamna hata direction [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Kwahiyo kiufupi ni kwamba upanuzi wowote wa uwanja hauwezekani?
Inawezkn kuongeza siti elfu kum na nane ,so apo ni maamuz ya tajiri mwenyewe

Pia ujue mmiliki wa timu sahizi akai tena uingereza na miaka minne hajaenda Stamford kuanglia game za Chelsea kutokana na issue za kidiplomasia
Kiufupi sababu za kisiasa pia zinachangia
 
Imekamilika ha ha haaaaa hata cku mkipata UEFA mtaajitaje???

Ligi mna mwaka wa 18 sasa

Hamna hata direction [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
Mzee umekurupuka kama ushuzi,. [emoji23] [emoji23] Hivi unaelewa dunia inavyozunguka kweli
 
Bado na lampard ni kocha wa chelsaa
 
Dah kupanua uwanja imeshindikana, kuhama na kubadilisha jina la timu imeshindikana.

zipi ni hasara za kubadilisha jina la timu kwa ajili ya kujenga uwanja wa kisasa?

Google usome Historia ya Timu inaitwa MK Dons utajua hasara ya kuhama uwanja na kubadili Jina.

Kumbuka Makombe, Legends na Fanbase ni Mali ya Chelsea.

Ukihama Darajani na kubadilisha Jina itabidi uanze Upya kama walivyofanya MK Dons pale walipohama Wimbledon na kuhamia Milton Keynes City iliwabidi waachane na Jina la Wimbledon FC hatimae Fanbase yao ya Wimbledon ikajawa na hasira ikaizuia Timu kutumia jina la Wimbledon FC ndiyo wakajiita MK Dons then Fan Base ya Wimbledon ikaanzisha Timu mpya wakaiita AFC Wimbledon.

Hivyo kumbuka kuwa wanaomiliki Uwanja na Jina la Timu ndiyo Fanbase yenu na inaongozwa na mwenyekiti wake Jon Terry.

Mukisema tu Muhame na kubadili jina basi Makombe yote yanakuwa mali ya Chelsea hivyo Nyinyi munaanza upya na Fanbase itagawika wengine watawasapoti Nyinyi na wengine watabaki na Chelsea na kuanzisha Timu yao nyingine ya Chelsea hapo Darajani.
 
Shida ni kwamba hamna uwanja hamna jina[emoji28]

Pia mji waliopo ukiwatafuta kwenye Ramani yoyote ile utaambiwa wapo FULHAM πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani jeuri yote waliyonayo kumbe Fulham babalao.

Liverpool Derby yake ni Everton (Mji mmoja)

Manure Derby yake ni Man City (Mji mmoja)

Sasa waambie Chelsea Derby yake ni Fulham (Chelsea ipo Sebuleni kwa Fulham) uone watakavotoa Povu hao πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Khaaaa sasa si angeiboresha kidogo tu hilo jina, baada ya chelsea iwe cheltako ili ajenge uwanja wake,

Chelsea inaendeshwa kiswahiliswahili kama Simba na Yanga.

Kiufupi kuna Kilomoni na Akilimali wanaimiliki Chelsea Kampuni! Na kuna Dewji (Abramovic) anamiliki 49% za Chelsea.
 
Dully Jr ndio anaekupa raha hongera
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…