Kama Abraham anataka apendwe afunge big teams hiyo ndio solution watu wanamchukia kwa Hilo Jambo wakina Drogba wanaheshimika pale Chelsea kwa sababu hii wanaamua matokeo kwenye game against big teamWabaya wa Abrahama mpo!
Tammy Abraham scored and was awarded the Man of the Match award in Chelsea’s 2-0 win over Newcastle at St James’ Park.
Reuben Loftas Cheek naona form yake imeanza kupanda kule Fulam, kaingia muda mfupi akaleta imapct kubwa na kufunga bao zuri iliyoiwezesha Fulam kufungwa 3-2 na Everton
Shida yako nini hasa!TIMU YA CHELSEA
• Inapatikana kwenye mji wa Fulham
• Timu inamilikiwa na Abramovic
• Uwanja wa Nyumbani ni Stanford Bridge imekodi kutoka kwa Freeholders (Kampuni ya wanachama isiyo ya Kimiashara ambayo Mwenyekiti wake ni John Terry).
• Jina la Chelsea linamilikiwa na wanaomiliki uwanja (Freeholders).
• Abramovic alitaka kuununua na uwanja ili aumiliki na Timu wenyewe wakagoma.
• Akataka kuanzisha Project ya uwanja Mpya wa £1B, Freeholders wakamwambia katika mkataba wetu tulioikodisha Timu uwanja ni Lazima Timu inayoitwa Chelsea icheze mechi zake za Nyumbani kwenye uwanja huu wa Stanford Bridge, iwapo utahamia uwanja mwengine basi haitakuwa na haki ya kutumia jina la Chelsea, hivyo ukijenga uwanja Mpya Timu ibadilishe jina isiwe tena Chelsea.
Project ya uwanja Mpya imeshindikana.
• Abramovic ameinunua Timu bila ya uwanja na Jina, kwa wakati huo haikuwa shida kwake kupewa Timu bila ya Kumilikishwa Jina na Uwanja kwani bei yake ilikuwa ni ndogo, but Now Timu imeshapanda Thamani ya takriban 2B. Kuna kila dalili hatoweza kuiuza tena Timu hata akitaka kufanya hivyo! Nani atakubali kununua Timu kwa muda more than £2B+ bila ya Uwanja wala hatimiliki ya Jina? Labda iuzwe chini ya £1B.
Freeholders kamwe hawatakubali Uwanja na Jina la Timu Limilikiwe na yoyote yule zaidi ya wao Wanachama (Kampuni isiyo ya kibiashara).
"Abramovic kazi Anayo"
Alikuwa na mpango wa kutaka kupanua uwanja though uwe mkubwa zaidi ...shida ikaletwa na majirani wa huo uwanja nafikiriTIMU YA CHELSEA
• Inapatikana kwenye mji wa Fulham
• Timu inamilikiwa na Abramovic
• Uwanja wa Nyumbani ni Stanford Bridge imekodi kutoka kwa Freeholders (Kampuni ya wanachama isiyo ya Kimiashara ambayo Mwenyekiti wake ni John Terry).
• Jina la Chelsea linamilikiwa na wanaomiliki uwanja (Freeholders).
• Abramovic alitaka kuununua na uwanja ili aumiliki na Timu wenyewe wakagoma.
• Akataka kuanzisha Project ya uwanja Mpya wa £1B, Freeholders wakamwambia katika mkataba wetu tulioikodisha Timu uwanja ni Lazima Timu inayoitwa Chelsea icheze mechi zake za Nyumbani kwenye uwanja huu wa Stanford Bridge, iwapo utahamia uwanja mwengine basi haitakuwa na haki ya kutumia jina la Chelsea, hivyo ukijenga uwanja Mpya Timu ibadilishe jina isiwe tena Chelsea.
Project ya uwanja Mpya imeshindikana.
• Abramovic ameinunua Timu bila ya uwanja na Jina, kwa wakati huo haikuwa shida kwake kupewa Timu bila ya Kumilikishwa Jina na Uwanja kwani bei yake ilikuwa ni ndogo, but Now Timu imeshapanda Thamani ya takriban 2B. Kuna kila dalili hatoweza kuiuza tena Timu hata akitaka kufanya hivyo! Nani atakubali kununua Timu kwa muda more than £2B+ bila ya Uwanja wala hatimiliki ya Jina? Labda iuzwe chini ya £1B.
Freeholders kamwe hawatakubali Uwanja na Jina la Timu Limilikiwe na yoyote yule zaidi ya wao Wanachama (Kampuni isiyo ya kibiashara).
"Abramovic kazi Anayo"
Shida yako nini hasa!
Plan iliyokuwepo ilikuwa ni kuexpand stamford bridge na kibali kilikuwa kishapatikanaTIMU YA CHELSEA

Analeta uchonganishi kati ya tajiri, wenye uwanja na washabiki, especially wa humu JF.
Plan iliyokuwepo ilikuwa ni kuexpand stamford bridge na kibali kilikuwa kishapatikana
Tofaut za kidiplomasia kati ya uk na russia ndio zilizovuraga mpaka kibal kikaexpire na plan ikawa imesitishwaView attachment 1633577
Alikuwa na mpango wa kutaka kupanua uwanja though uwe mkubwa zaidi ...shida ikaletwa na majirani wa huo uwanja nafikiri
Kama Abraham anataka apendwe afunge big teams hiyo ndio solution watu wanamchukia kwa Hilo Jambo wakina Drogba wanaheshimika pale Chelsea kwa sababu hii wanaamua matokeo kwenye game against big team
Chelsea name owners walikubali uwanja upanuliwe iyo ilikuw but ishu ikaja sehemu uwanja ulipo pembeni Kuna national rail way imeipta two sides so uwanja ulitakiwa uchimbwe chini then ndo wautanue bila kudisturb shuguli za reliProject ya New Stadium iliyokuwa proposed toka mwaka 2011 ya £1B ilikuepo ikafeli baada ya Wamiliki wa Stanford bridge kuikataa kwa kusema Chelsea ikihama Darajani basi ibadili na Jina.
Jaribu kufuatilia
Khaaaa sasa si angeiboresha kidogo tu hilo jina, baada ya chelsea iwe cheltako ili ajenge uwanja wake,TIMU YA CHELSEA
• Inapatikana kwenye mji wa Fulham
• Timu inamilikiwa na Abramovic
• Uwanja wa Nyumbani ni Stanford Bridge imekodi kutoka kwa Freeholders (Kampuni ya wanachama isiyo ya Kimiashara ambayo Mwenyekiti wake ni John Terry).
• Jina la Chelsea linamilikiwa na wanaomiliki uwanja (Freeholders).
• Abramovic alitaka kuununua na uwanja ili aumiliki na Timu wenyewe wakagoma.
• Akataka kuanzisha Project ya uwanja Mpya wa £1B, Freeholders wakamwambia katika mkataba wetu tulioikodisha Timu uwanja ni Lazima Timu inayoitwa Chelsea icheze mechi zake za Nyumbani kwenye uwanja huu wa Stanford Bridge, iwapo utahamia uwanja mwengine basi haitakuwa na haki ya kutumia jina la Chelsea, hivyo ukijenga uwanja Mpya Timu ibadilishe jina isiwe tena Chelsea.
Project ya uwanja Mpya imeshindikana.
• Abramovic ameinunua Timu bila ya uwanja na Jina, kwa wakati huo haikuwa shida kwake kupewa Timu bila ya Kumilikishwa Jina na Uwanja kwani bei yake ilikuwa ni ndogo, but Now Timu imeshapanda Thamani ya takriban 2B. Kuna kila dalili hatoweza kuiuza tena Timu hata akitaka kufanya hivyo! Nani atakubali kununua Timu kwa more than £2B+ bila ya Uwanja wala hatimiliki ya Jina? Labda iuzwe chini ya £1B.
Freeholders kamwe hawatakubali Uwanja na Jina la Timu Limilikiwe na yoyote yule zaidi ya wao Wanachama (Kampuni isiyo ya kibiashara).
"Abramovic kazi Anayo"
Shida ni kwamba hamna uwanja hamna jina[emoji28]Shida yako nini hasa!
Siku imekuwa nzuriiiiiiiiii kabisa kudadeki. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hawã raia wana mikelele tu humu kumbe wamekodishwa kila kitu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuonesha kuwa Kigenge chenu ni cha kuungauunga haimiliki Jina la Mji (Ipo ndani ya Fulham) tofauti na Newcastle, Manchester, Liverpool, Sunderland, Leeds n.k.
Haina Uwanja, imekodi.
Haimiliki Jina, imekodi.
Haiwezi kufanya maamuzi ya uboreshaji miundombinu, Mpaka watake waliokodisha uwanja na Jina.
Halafu munataka kushindana na Arsenal Timu iliyokamilika?
CC: DullyJr
Uwanja unao? Au kukodikodi tu nyama weehSisi Chelsea tutaendelea kiwa bora zaidi na pengine kubeba Ligi kabisa.
Iyo ipo ndani ya uwezo wetu.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Muje tuwauzie highburry stadium lakini kwa sharti moja tu, muitwe cheltako,Chelsea name owners walikubali uwanja upanuliwe iyo ilikuw but ishu ikaja sehemu uwanja ulipo pembeni Kuna national rail way imeipta two sides so uwanja ulitakiwa uchimbwe chini then ndo wautanue bila kudisturb shuguli za reli
Challenge iliyopo ikaja kuwa katika kuchimb lazima t kun mitikisiko itokee sehemu izo za reli so Chelsea had to find new area ili kujeng uwanja mpya kabisaa
Hao jamaa ndo wakasema first owner wa timu walikublian Chelsea watatumia ilo jina na lzm wacheze home games Stamford na kuuza name rights waligoma
Sababu nyingine za kisiasa kwel zipo kutokana na ugomv kati ya Russia na uingereza
Na ukifatlia ni more than four years now mmiliki wa timu hajatia mguu uingereza japo now antumia passport ya Israel baada ya kuomb uraia uko
But project bado plans zipo za last year Chelsea waliongezewa kibali so now project imesimm lkn kbl bdo kipo
Mtaanza moja, yaani kama hii timu yangu ya huku ujiji MBILI CHALI FC.. [emoji23]Dah kupanua uwanja imeshindikana, kuhama na kubadilisha jina la timu imeshindikana.
zipi ni hasara za kubadilisha jina la timu kwa ajili ya kujenga uwanja wa kisasa?