Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Kaka Man City pumzi imekata kweli au hukuuangalia vizuri mpira aliocheza na Liverpool pale Ethard kabla ya mechi ya jana na Spurs?Spurs nimwepesi sana sema Man City pumzi zimekata ndo maana spurs alijichukulia ujiko,lakini siyo kwamba spurs anampira wakutisha.
Hio nzur ila kweny match ya jumanne uefae nahic katikati ataanz jorginho kante atapumzishwa kwa ajik ya spurs maybe harvetz na pulisc wataanza piaHavertz akirudi awe anapewa muda kidogo kama Odoi mpaka form yake irudi kawaida. Nasema hivyo kwa sababu timu sasa hivi iko vizuri na Mount na Kovacic wanatoshea pale kwenye kiungo
Pulisic---------------------------Timo ----------------------------Ziyech
Kovacic-----------------------Kante -----------------------Mount
Ben Chilwell --------------Silva/Rudiger ------------Zouma -------------James/Azpi
Mendy
Regular Sub
- Kepa
- Rudiger
- Azpilicueta
- Gilmour
- Havertz
- Odoi
- Abraham
Mendy ataibuka kuwa kipa Bora msimu huuMendy anazidi kujiongezea clean sheet
Kante akiwa kwake, timu inatulia sana
Nafurahi Lampard anaanza kujua umuhimu wa mchezaji muhimu kama Kante akichezea position yake
Sio tena kesho mara kamuweka JO pale na timu inaanza kuyumba
Hata me naliona hili.Hio nzur ila kweny match ya jumanne uefae nahic katikati ataanz jorginho kante atapumzishwa kwa ajik ya spurs maybe harvetz na pulisc wataanza pia
So kikos kitabadirika t
Kiukweli tumeshinda ila lampard hamna kitu. Afukuzwe tu. Na nambamiza sana "LAMPARD OUT" huko kwenye mitandao yao mpk afukuzwe.
Maoni yako nayaelewa sana mana hata mimi naona kitu kama hicho, siku tukipata timu inayokimbiza tutafungwa goli nyingi sana. Newcastle walijitahid kama tatu hivi moja ikagonga mwamba tukikutana na waliodhamiria yale yote magoli mana Mendy alikua ameruka ushahid tu. Bado hatupo sawa kama baadhi ya watu humu wanavyoamini.Chelsea bado mfumo wao unanipa pressure, ile tabia ya kurudisha mipira nyuma, binafsi siipendi. Pia jana mfano new castle wakipata mpira wanapanda haraka sana, sisi tuna gonga sana pass na tunaenda mbele polepole sana. Binafsi ingawa tunashinda ila huu mfumo sijaupenda
Mkuu wewe unambinu?Hujaona hapo mkuu nimeandika kwa herufi kubwa?? au hujui kusoma,Kocha gani hana mbinu.
Na hiyo ndiyo mbinu ya Morinyo. Hakikutangia huchomoki. Solution ni kumzima mapemaHuyu Spurs anaoendelea iv itakua ngumu sana kumfunga ,match n Spurs mabek inbd wawe makini san son na kane hawa jamaa ni hatar , kama jana spurs yey hakuwa na shida ya kupigae mpira mwingi anatafut tu goli la mpema anapaki basi
So lampard inabid afanye kazi ya Ziada
Ndugu, huo mfumo unaotaka wewe ndio Lampard kaanza nayo mechi ya kwanza na Manure msimu uliopita tukafungwa 4 mtungi.Chelsea bado mfumo wao unanipa pressure, ile tabia ya kurudisha mipira nyuma, binafsi siipendi. Pia jana mfano new castle wakipata mpira wanapanda haraka sana, sisi tuna gonga sana pass na tunaenda mbele polepole sana. Binafsi ingawa tunashinda ila huu mfumo sijaupenda
Umemjibu vizuri.Ndugu, huo mfumo unaotaka wewe ndio Lampard kaanza nayo mechi ya kwanza na Manure msimu uliopita tukafungwa 4 mtungi.
Kurudisha nyuma mipira ina maana kubwa kwente tactical view ya football.
Kinachomata zaidi ni
- Kwanza inawapa nafasi wachezaji muda au fursa ya kupanga mashambulizi upya
- Pili inatoa nafasi ya kupeleka mpira mbele bila kuwaruhusu maadui kufanya counter
- Tatu, kama mmeshinda ndio njia halali ya kupoteza muda
- Nne, inawapa nafasi wachezaji ku-explore blunders au makosa ya oponents ili kuyatumia kwenye counter attack
- Tano, inawapumzisha wachezaji ili kuweka akiba energy kwa mashabulizi yajayo
- Touches kwenye opposition third
- Chances created
- Attempts na shots on target
- Goal scored
- Set pieces created
- Nk.
Mi mbinu za mpira za kupeleka wapi? Huyo kocha ndio anatakiwa awe nazo mana ndio kazi yake, nawaangalia Leeds hapa wanavyoupiga mwingi, hakuna side ways pass za beki na beki,wanapita humo humo katikati. Unaona kabisa kocha anawafundisha kitu. Inasikitisha sisi tunae Lampard wakat Leeds wana Bielsa.Mkuu wewe unambinu?
Award ya mezaini hiyo, kwa lipi? au kwa goli alilofunga,goli lenyewe juhudi kafanya mwingine. Timo alistahili, mingereza bhana kwa kubebana.Wabaya wa Abrahama mpo!
Tammy Abraham scored and was awarded the Man of the Match award in Chelsea’s 2-0 win over Newcastle at St James’ Park.