Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi mseme yote lakini jozeee moriho amechangia kiasi kikubwa kuharibu viwango vya wachezaji huyo kelvin,salah,lukaku,saizi pale Tottenham ndugu yangu Dele Ali kitenzi cha watu kauwaaaaaa huyu Mzee angekuwa bongo ningempiga yao viza
 
Point, pamoja na kumchukua miaka minne Klopp alikuja akiwa na miaka mingi ya uzoefu kama kocha wakati Lampard ndio mwaka wake wa pili kwenye football na wa kwanza kwenye big league. Waliokuwa wanamsodoa Klopp akiwemo King Ngwaba leo hii wamekuwa wapole kama njiwa
 
Mashabiki wangapi wanamchukia: Hiyo sensa umeifanya lini na kwa methodology ipi? Hakuna kocha aliyewahi kupendwa na mashabiki wote asipobeba makombe. Kocha wa kwanza kupendwa na idadi kubwa ya mashabiki hata bila makombe ni Lampard
 
Umesahau pia kama anataka vijana alimnunua Silva kwan ni kijana. Kama anaweza mtumia silva kwa short plan inashindikana vipi kwa Giroud.
Mchezaji anawekwa kwa umuhimu wake bila kujali umri, Concern kubwa ya defense imelazimu Silva acheze hata kama ni mzee, yaani tusubutu kuwaweka wale vichwa wenda wazimu tufungwe 5 kila mechi kama yale mabao ya Bonemouth?
Kule mbele imesukwa vizuri na ndio maana sasa hivi hakunma ukame wa magoli, acheze Abrahama au Giroud Chelsea itafunga tu. Na kocha kaliona hilo akaamua kumpa muda Abraham apandishe form yake. Hata hivyo pulisic akipona kabisa Abrahama anakuwa sub tu

Kwa kocha kumpanga Abrahama amefanya hivyo kwa kuzingatia risk yake atakayoimpose ni ndogo tofauti na risk ya kumuacha Silva na kumuweka Tomori au the likes
 
Chelsea ndio timu inayoongoza mpaka sasa kwa kufunga, imefunga magoli 20, inayofuatia ni Spurs magoli 19
Aidha Chelsea na Spurs zinaongoza kwa GD ya 10
Kwa maelezo haya Ukweli ni kwamba mbele tumekamilika. Backline yetu ikiendelea kuzuia magoli, Chelsea tutafanya vizuri kuliko msimu uliopita
 
Wamuajiri huyu basi, cheltyako bwana
 

Attachments

  • images.jpeg
    26.9 KB · Views: 21
Sikumzungumzia mana sio mchezaji wa chelsea, halafu nahis kama sikosei yeye mwenyewe ndio alifosi kuondoka liverfool.
Nimekutolea mfano sababu hapa tunajadili mustakabali wa Lampard na wachezaji wa Chelsea Tammy Abraham na Giroud, kwani mbona hukunipinga nilipowatolea mifano Klopp na Pep/Makocha wa timu zingine ilihali tunajadili habari za Lampard? Ebu pevuka kiakili basi siyo kiumri ukiwa na mihemuko ya chuki zako binafsi ndugu.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe unakubaliana na Mimi Sasa kwanini amuweka benchi Giroud?
 
Mimi sijasema afukuzwe ila ninapinga kitendo chakutompanga Giroud
 
Kumbe unakubaliana na Mimi Sasa kwanini amuweka benchi Giroud?
Giroud mnayetupigia naye kelele ni galasa tu, kwani huyo Giroud wenu anafikia hata nusu ya uwezo wa strikers kama Diego Costa?

Pale Arsenal alikuwa anatengenezewa nafasi hata 10 na kufunga goli 1 au mawili tu, huyo ndiye mnayemlalamikia kuwa hapangwi Chelsea?

Asipopangwa hata zaidi ya miaka 100 ijayo bado Giroud ni Lacazzete aliyechangamka tu.

Striker amecheza kombe la dunia 2018 bila kupiga shot on target hata 1 ilihali timu yake ilibeba kombe la dunia?

Kama mnashabikia Chelsea sababu ya mikeka akili zenu haziwezi kamwe kuchanganua mambo kiupeo.

Nimekutolea mfano Thiago Silva 36yrs old kupangwa Chelsea ili awakomaze mabeki wengine na umuhimu wake umeonekana hadi tangu aje ukuta umeanza kuimarika tofauti na kabla hajaja Chelsea ilikuwa haiko imara kiukuta.

Huyo huyo Giroud wenu alifanya kipi hasa chini ya Sarry?

Tumieni akili kwa utashi wa kufikiri kiupana zaidi nnje ya boksi wala si kutumia mihemuko yenu tokana na mahaba yenu kumkosoa Lampard ktk ukocha wake.

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 
Hapa leo nitahamia! Kuna kilio kitarindima jioni ya leo! Hivyo muuguwe pole.
 

Post kama hizi will not last longer, soon zitapotea mutarudi kwenye Post zenu za Lampard bado anajenga Timu.
 
Hii timu naipenda kuliko. Yani kila Muda naiwaza. Mungu ibariki Chelsea, mbariki kocha wetu King Lampard, wabariki wachezaji wote wa Chelsea, wabariki ma fans wote wa Chelsea. Wote wanaompenda King Lampard wabarikiwe, Mamluki walaaniwe[emoji3][emoji3]

Hii Chelsea ni timu ya baba, timu ya mama, timu ya babu, timu ya bibi, na ni timu ya ukoo. Sote tunajua kuwa ukiwa Fan wa Chelsea basi umebarikiwa kuliko, maana Chelsea inamilikiwa na wayahudi. Na tunavyojua kama ilivyoandikwa amebarikiwa mtu yule aibarikiye Israel[emoji3][emoji3]. Kwa maana nyingine mashabiki wa Arse8, Manyumbu na takataka zingine wamelaaniwa kwa sababu huiponda club ya Myahudi, hivyo tutegemee timu zao kuwa takataka hadi apo watakapojitambua na kuamua kuungana na Chama kubwa Duniani.

#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hapa leo nitahamia! Kuna kilio kitarindima jioni ya leo! Hivyo muuguwe pole.
Karibu sana kwenye baraka, ukiibariki Chelsea umebarikiwa wewe na familia yako. Ila ukiandika utopolo kama huu basi jiandae kuleta matatizo kwenye familia yako.

Badili haraka sema Chelsea leo atashinda.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Afu Giroud wao wanaomlilia alipokuwa na rika sawa na alilonalo Abraham kwa sasa alikuwa hana uwezo kama huo alionao Abraham japo bado anahitaji uzoefu wa kutosha, yani kweli dunia haiishiwi vituko tokana na aina ya watu kama hao wanaoona wako sahihi kupinga kila kitu kwa ujuaji mwingi kumbe "ujuaji mwingi mbele ni giza la tororo kabisa"

Sent from my ONEPLUS A3010 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…