Ukitaka kujua Lampard hamna kitu, huyo Abraham kwnye timu y taifa hapat namba.Msimu huu big teams almost zote ziko ovyo statistically t Tim msmu hazipo vzr
,Chuki binafsi iskufny usimpe credit mtu akifanya vzr ata kwa icho kdgo
It's true lampard sio bora kma klopp but atleast kajitaidi huu msmu wa pili kwa lmpard so subiri muda uamue
sas Abraham utmafananish n Kane , kila mtu anjua Kane ni top strikerUkitaka kujua Lampard hamna kitu, huyo Abraham kwnye timu y taifa hapat namba.
Bado Giroud is far better than Tammy Abraham kwenye kufunga magoli. Abraham anaremba sana wakati Giroud anarisk. Tukumbuke mwishoni mwa ligi isingekuwa Giroud Chelsea ingekuwa out of top 4 hata Europa tungekosa. Nafikiri tukirudi LampardWenger wakati anamweka benchi alikuwa haboi? Hivi style ya uchezaji wa Chelsea unaona inamfaa Giroud? Kila aina ya mpira ina wachezaji wake
Na uzoefu wote aliyonayo, Klopp ilimchukua miaka minne kuitengeneza Liverpool, Lampard yeye hata uzoefu hana anapewa msimu mmoja aitengeneze Chelsea, Hata PEP ilimchukua zaidi ya mwaka mmoja kuitengeneza Man City pamoja na uzoefu aliyonayo Barca na Bayern Munich.Kwani last season aliingiaje top four
Muwe na akiba ya maneno, last season nyie ndo mshabiki mliokuw mnasema ataishush timu daraja
Uwez mjaji lampard ukawalinganish ns klopp n gadiora they dar better than him in all coaching staff but uwz sema kuwa lampard han kitu last season timu ilkuw mbov Zaid ya sahiz but now timu ina improve it's better umjudge at nusu msmu ukifk ndo kwanz eight games played one loose only
Hao Liverpool ambao wanastrong squad pia wamepoteza games zao
Sasa hii ya uzoefu binafsi ya wachezaji imekuwa wimbo tena unaokera. Management wao ni mabwege kuliko mashabiki wakaamua kumuamini Lampard!! Mtamuelewa Lampard tu siku zinavyozidi kwenda. Na msimu wa 2021/22 Lampard akiendelea kuwa na hii timu hakuna mdudu atakayeifunga Chelsea labda kwa kuotea kwa mbali. Wachezaji watakuwa wamezoeana, wamemuelewa kocha na viraka vitakuwa vimeshazibwa kabisa. MTAELEWA TU NA KUJA HAPA NA BLAA BLAA ZINGINE KAMA HIZILast season timu zote zilikua mbovu, liverfools tu ndio walikua vizur na city kwa mbali. Na tulikua wa4 kw sababu y uwezo binafsi wa wachezaji, tena ingekua kuna kuongeza games, last season zingeongezwa games mbili tu leceister au spars wangetupita.
Msimu huu usiujudge kw kuangalia last season, timu zipo moto, sisi bado tunategemea uwezo wa wachezaji, kocha hamna kitu.
Pole sana kama unafikiri itakuwa hvyo cwez hama blue is in my blood....hama hicho kimid-table team mzeeHata wewe soon utahamia everton, cz hiko kitimu chako ni kitimu cha decade wonder
Abraham kaanza kupata namba baada ya pulisic kuumiaUkitaka kujua Lampard hamna kitu, huyo Abraham kwnye timu y taifa hapat namba.
Hapo Hujamtaja Jamie Vardysas Abraham utmafananish n Kane , kila mtu anjua Kane ni top striker
Ukisem Ivo utaulizwa mount timu ya taifa anacheza pia nae vip
So kutocheza Abraham timu ya taifa hakuna uhusiano na lampard coz kane ni much better than a lot of strikers in the world not EPL only
Mbona Benzema ni top striker bado anakalishwa na Giroud, tukubali tu kocha hatuna pale.sas Abraham utmafananish n Kane , kila mtu anjua Kane ni top striker
Ukisem Ivo utaulizwa mount timu ya taifa anacheza pia nae vip
So kutocheza Abraham timu ya taifa hakuna uhusiano na lampard coz kane ni much better than a lot of strikers in the world not EPL only
Nyie watu mnaniahangaza sana yan unasema bila magoli ya Giroud tusingeingia top four yan unasema as if halikua jukumu lake kufunga. Halafu pia unamasahau Tammy aliyeweka kambani magoli 15.Giroud Ni mzuri kwenye link up kitu ambacho kinafit kwa Sasa hiv lakini pia upigaji wa cross wa Ziyech Ni faida pia kwa Giroud sambamba na cross zile za Benchillwel kitampa faida Sana Giroud tatizo la kocha wako anachuki Binafsi na Giroud anaona akimpa nafasi Giroud mwingereza mwenzake Abraham atakosa nafasi.Kumbuka pia bila magoals ya Giroud sisi tusingeingia big 4 msimu Huu.
Unawasemea watu wanaumia kwa uwepo Lampard kwa nn usijisemee wewe. Halafu dua la kuku halimpati mwewe unaweza hii ndio ikawa mara yako ya mwisho kuja na hii ID ya chuki ukaja na ile ID nyingine kuunga mkono juhudi za Lampard kuelekea nchi ya ahadi. Pole sana mkuu unajipa tabu za bureWala msihofu Kabisa, Lampard msimu huu ni wa mwisho kama kocha wa Chelsea. Tunafahamu tunavyoumia na kuhuzunika yana mwisho wake, muda ni mwalimu mzuri. Kocha wa makombe yupo njiani anakuja mtacheka na kufurahi sana na kusahau haya maumivu ya sasa. Tuweni wavumilivu ni swala la muda tuu kuletewa kocha bora
Kumbe nimegundua wewe hujui chochote unakurupushwa na mihemuko. Nakupa homework ni kwanini Benzema haitwi timu yataifa.Mbona Benzema ni top striker bado anakalishwa na Giroud, tukubali tu kocha hatuna pale.
Haha haha yni ww unachuki binafsi kwa kigezo icho mchezaji wake asipoitw national team ndo kgezo cha koch mbovuMbona Benzema ni top striker bado anakalishwa na Giroud, tukubali tu kocha hatuna pale.
Huyu jamaa chuki binafsi t uwez kusema mtu mbovu ikiwa bdo hajafany kitu kibayaKumbe nimegundua wewe hujui chochote unakurupushwa na mihemuko. Nakupa homework ni kwanini Benzema haitwi timu yataifa.
ππ Kwaiyo siku zote unahisi Benzema ni mbovu ndio maana haitwi national team? SMH!!
Sijasema benzema ni mbovu, nilimquote alichokisema kua kane ni top striker ndio mana anaanza mbele y Abraham, ndio mana nikamuuliza hilo swali.Kumbe nimegundua wewe hujui chochote unakurupushwa na mihemuko. Nakupa homework ni kwanini Benzema haitwi timu yataifa.
ππ Kwaiyo siku zote unahisi Benzema ni mbovu ndio maana haitwi national team? SMH!!
Lakini siyo ndogo kama Arsenal Arse8Hii ni timu ndogo
We hujanielewa kocha wetu ni mbovu, mtu anaemweka bench ndio anaenda kutupia huko, ila anaembeba kisa mwingereza anaenda kusugulia benchi.Haha haha yni ww unachuki binafsi kwa kigezo icho mchezaji wake asipoitw national team ndo kgezo cha koch mbovu
Vardy haitwi timu ya taifa so utsem pia Koch ake mbovuπ
Tafuta facts zingine zenye mashiko kuprov kitu chako ulichosem
Nb Abraham timu ya taifa anaitw Jan pia kacheza kutokea sabu
Southgate sio mjinga kumwita timu ya taifa