Giroud Ni mzuri kwenye link up kitu ambacho kinafit kwa Sasa hiv lakini pia upigaji wa cross wa Ziyech Ni faida pia kwa Giroud sambamba na cross zile za Benchillwel kitampa faida Sana Giroud tatizo la kocha wako anachuki Binafsi na Giroud anaona akimpa nafasi Giroud mwingereza mwenzake Abraham atakosa nafasi.Kumbuka pia bila magoals ya Giroud sisi tusingeingia big 4 msimu
Somtmc watu wanataka vile watakavyo wao kwa msimu huu uwez mlaumu lmpard kumchzesh Tammy , giroud mzur butWenger wakati anamweka benchi alikuwa haboi? Hivi style ya uchezaji wa Chelsea unaona inamfaa Giroud? Kila aina ya mpira ina wachezaji wake
Giroud Ni mzuri kwenye link up kitu ambacho kinafit kwa Sasa hiv lakini pia upigaji wa cross wa Ziyech Ni faida pia kwa Giroud sambamba na cross zile za Benchillwel kitampa faida Sana Giroud tatizo la kocha wako anachuki Binafsi na Giroud anaona akimpa nafasi Giroud mwingereza mwenzake Abraham atakosa nafasi.Kumbuka pia bila magoals ya Giroud sisi tusingeingia big 4 msimu Huu
Kila mtu amechangia Chelsea kuwa top four uwez sem bila giroud tusingkuw top four stil kun other players wamescore n kuchngia pointGiroud Ni mzuri kwenye link up kitu ambacho kinafit kwa Sasa hiv lakini pia upigaji wa cross wa Ziyech Ni faida pia kwa Giroud sambamba na cross zile za Benchillwel kitampa faida Sana Giroud tatizo la kocha wako anachuki Binafsi na Giroud anaona akimpa nafasi Giroud mwingereza mwenzake Abraham atakosa nafasi.Kumbuka pia bila magoals ya Giroud sisi tusingeingia big 4 msimu Huu.
Kipi kinachofanya Giroud asipangwe? Kama sio chuki Ni Nini?kwangu Giroud Ni better than Abraham kiuzoefu mpaka kiuwezoSomtmc watu wanataka vile watakavyo wao kwa msimu huu uwez mlaumu lmpard kumchzesh Tammy , giroud mzur but
Kila mtu amechangia Chelsea kuwa top four uwez sem bila giroud tusingkuw top four stil kun other players wamescore n kuchngia point
Saiz mech za league nane t ambazo kati ya hzi kun gemu Abraham nae hajacheza ,so uwz laamu mbon hachezi kisa sio muingeleza
Timmo, harvetz sio waingeleza lakin wamecheza almost game zote despite of starting poorly
Mkuu jamaa huwa anafurahi pindi wachezaji wameenda international break. Manake hakuna game za Epl. Ila wakirudi na mechi Zikianza anakuwa mdogo kama piritoni[emoji16][emoji16]na mm nimekukumbusha2 maana naona ushaanza kufurah sjui unapatia wap nguv ya kufurah
mchezaji kutopangwa haimanishi ndo chuki, kwa maon yako tammy mbovu ila Koch yeye anaon yupi anfaa kwa wakati huoKipi kinachofanya Giroud asipangwe? Kama sio chuki Ni Nini?kwangu Giroud Ni better than Abraham kiuzoefu mpaka kiuwezo
Mzee hyo sio furaha ni uvumilivu tu..shabiki wa man city wameamua kusuuza roho zao wakahama lkn nyie bado mnavumilia tehtehtehSasa unashabikia chama kubwa kama Arsenal kwanini usifurahi
Kwa hiyo staili y chelsea inamfaa Abraham?Wenger wakati anamweka benchi alikuwa haboi? Hivi style ya uchezaji wa Chelsea unaona inamfaa Giroud? Kila aina ya mpira ina wachezaji wake
Huwa wananenepa kabla ya ligi kuanza na international breaks, baada ya hapo ni maumivu. Mi nilitaka kupunguza kitambi nikashabikia Arsenal wiki mbili kitambi chote kwishnei.Mkuu jamaa huwa anafurahi pindi wachezaji wameenda international break. Manake hakuna game za Epl. Ila wakirudi na mechi Zikianza anakuwa mdogo kama piritoni[emoji16][emoji16]
Hapo ni chuki tu hamna kingine, na hatukaa tubebe chochote kama lampard akiendelea kua kocha. Hat top 4 sidhani, tupo hapa.Kipi kinachofanya Giroud asipangwe? Kama sio chuki Ni Nini?kwangu Giroud Ni better than Abraham kiuzoefu mpaka kiuwezo
Kwani last season aliingiaje top fourHapo ni chuki tu hamna kingine, na hatukaa tubebe chochote kama lampard akiendelea kua kocha. Hat top 4 sidhani, tupo hapa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa wananenepa kabla ya ligi kuanza na international breaks, baada ya hapo ni maumivu. Mi nilitaka kupunguza kitambi nikashabikia Arsenal wiki mbili kitambi chote kwishnei.
Rubbish top 4. Chelsea ni club ya makombe na sio kugòmbania kumaliza Top 4.Kwani last season aliingiaje top four
Muwe na akiba ya maneno, last season nyie ndo mshabiki mliokuw mnasema ataishush timu daraja
Uwez mjaji lampard ukawalinganish ns klopp n gadiora they dar better than him in all coaching staff but uwz sema kuwa lampard han kitu last season timu ilkuw mbov Zaid ya sahiz but now timu ina improve it's better umjudge at nusu msmu ukifk ndo kwanz eight games played one loose only
Hao Liverpool ambao wanastrong squad pia wamepoteza games zao
so kocha gani angechukua kombe mbele ya Liverpool msimu uliopita na timu iliokuwa na academic graduates na few top playersRubbish top 4. Chelsea ni club ya makombe na sio kugòmbania kumaliza Top 4.
Niwe mdogo kwa hizi takataka? [emoji23] [emoji23]Mkuu jamaa huwa anafurahi pindi wachezaji wameenda international break. Manake hakuna game za Epl. Ila wakirudi na mechi Zikianza anakuwa mdogo kama piritoni[emoji16][emoji16]
Hata wewe soon utahamia everton, cz hiko kitimu chako ni kitimu cha decade wonderMzee hyo sio furaha ni uvumilivu tu..shabiki wa man city wameamua kusuuza roho zao wakahama lkn nyie bado mnavumilia tehtehteh
Last season timu zote zilikua mbovu, liverfools tu ndio walikua vizur na city kwa mbali. Na tulikua wa4 kw sababu y uwezo binafsi wa wachezaji, tena ingekua kuna kuongeza games, last season zingeongezwa games mbili tu leceister au spars wangetupita.Kwani last season aliingiaje top four
Muwe na akiba ya maneno, last season nyie ndo mshabiki mliokuw mnasema ataishush timu daraja
Uwez mjaji lampard ukawalinganish ns klopp n gadiora they dar better than him in all coaching staff but uwz sema kuwa lampard han kitu last season timu ilkuw mbov Zaid ya sahiz but now timu ina improve it's better umjudge at nusu msmu ukifk ndo kwanz eight games played one loose only
Hao Liverpool ambao wanastrong squad pia wamepoteza games zao
Msimu huu big teams almost zote ziko ovyo statistically t Tim msmu hazipo vzrLast season timu zote zilikua mbovu, liverfools tu ndio walikua vizur na city kwa mbali. Na tulikua wa4 kw sababu y uwezo binafsi wa wachezaji, tena ingekua kuna kuongeza games, last season zingeongezwa games mbili tu leceister au spars wangetupita.
Msimu huu usiujudge kw kuangalia last season, timu zipo moto, sisi bado tunategemea uwezo wa wachezaji, kocha hamna kitu.
The blues hatuko ovyo ila kocha anatufanya tuwe ovyo, Wachezaji wa sasa wangepata kocha fundi Msimu huu tungebeba ubingwa mchana kweupe.Msimu huu big teams almost zote ziko ovyo statistically t Tim msmu hazipo vzr
,Chuki binafsi iskufny usimpe credit mtu akifanya vzr ata kwa icho kdgo
It's true lampard sio bora kma klopp but atleast kajitaidi huu msmu wa pili kwa lmpard so subiri muda uamue
Mimi swez kumjudge vibay Koch kwa mda ambao mechi zmechezwaThe blues hatuko ovyo ila kocha anatufanya tuwe ovyo, Wachezaji wa sasa wangepata kocha fundi Msimu huu tungebeba ubingwa mchana kweupe.