lembu Work rate yake ya kucover distance kubwa ya uwanja pamoja na kukaba inambeba Sana Ni Aina ya wachezaji wa Mourinho ndio maana Ni ngumu kuonekana kwa watu wengiMason Mount faced accusations of favouritism on social media... but Chelsea playmaker silenced all the doubters after excellent display against Ireland and continues to prove his worth for both club and country
- Playmaker Mason Mount is in favour with Gareth Southgate and Frank Lampard
- The Chelsea midfielder has been used in a deeper role in the past few weeks
- The 21-year-old has also been used regularly by Southgate in the England side
- Mount thrived playing alongside Jack Grealish in England's win against Ireland
- He continues to impress despite social media users struggling to see his impact
Acha kumfananisha Son na takatakaHuyu pulisic injury tu zinamzingua ila ni mchezaji hatari .....msimu uliopita tu alicheza mechi chache zaidi ya son lkn akatoka na goli 9 na huyo son aliyecheza mechi nyingi zaidi akiwa fit katoka na goli 11 .mi ningemuona hatari zaidi km angetoka na 15+ huko...so kusema huyu ni hatari zaidi ya wenzake baina ya hawa wawili nakataa kabisa
Matakataka yamejaa huko Arsenal ndio maana mnakimbia uzi wenu wenyewe. Mmejitahidi kuchukua makapi yetu lakini hayakusaidia kituAcha kumfananisha Son na takataka
Focus yangu ilikuwa ni umri wake wa kucheza mpira, Hata kama ni Championship, Grealisha kajifunza mengi kwenye kukwepa rafu tofauti na Pulisic na ndio maana anaumia kila mara, Naamini akifikisha 24/25 Pulisic atakuwa stable kwenye suala la injuriesMkuu pulisic kakichafua sana huko akiwa na miaka 18 na kina dembele wa barca enzi hizo wako dortmund ...kashacheza sana uefa ana uzoefu wa champions league kuliko hata grealish iweje useme hana uzoefu ktk football kwa ujumla.....huyu grealish labda kamzidi uzoefu championship au labda alicheza EPL na timu nyingine m sijui
Mkuu hivi walikuja kutoa shukran kweli tehtehHata siku Willian akianza kulala uwanjani mje kutoa shukurani pia maana Biblia inasema shukuruni kwa kila jambo
Ulichokiandika HakielewekiMy title contenders prediction, ni timu mbili tu ndio ziko kwenye top 4
- Mancity
- Liverpool
- Spurs
- Chelsea
na assist moja mdau umesahau na jana jmosi werner kapiga mbili huko ujerumaniHakim Ziyech atumbukiza mawili kwenye ushindi mnono wa goli 4-1 ya Morocco dhidi ya AFrika ya Kati
waje tu wamchukue cabaleroMatakataka yamejaa huko Arsenal ndio maana mnakimbia uzi wenu wenyewe. Mmejitahidi kuchukua makapi yetu lakini hayakusaidia kitu
nani kama pulisic pale arsenal? kama yupo na unajiamini mtajeAcha kumfananisha Son na takataka
Wewe pia ni takataka [emoji1787]Matakataka yamejaa huko Arsenal ndio maana mnakimbia uzi wenu wenyewe. Mmejitahidi kuchukua makapi yetu lakini hayakusaidia kitu
Hajawahi kueleweka huyo shabiki asiyejua anashabikia niniUlichokiandika Hakieleweki
Wewe umekurupukia wapi? [emoji23] Tumeiongelea arsenal au Son? Hivi ukiwa shabiki wa hiki kikundi cha wapagazi lazima uwe kichaa?nani kama pulisic pale arsenal? kama yupo na unajiamini mtaje
Takataka ni arsenal hovyo kabisa, aje kocha mzuri Arsenal ni ile ile, matokeo yale yale. Mashabiki mnaishi kwa matumaini ndio maana mna hasiraWewe pia ni takataka [emoji1787]
Utaelewaje wakati Arsenal haipo hapo? Mwaka huu hata Europa hakunaHajawahi kueleweka huyo shabiki asiyejua anashabikia nini