Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

3 Duo to be sold for Declan Rice Purchase

The report cites sources that claim Lampard is willing to listen to offers for Jorginho, Marcos Alonso, and Antonio Rudiger in January to raise the £60 million West Ham will demand for Rice.
 
PULISIC MATCH STATS

BUNDESLIGA 2018/2019

Mechi alizocheza - 20
Mechi ambazo hakucheza - 14

EPL 2019/2020

Mechi alizocheza full - 19
Mechi alizotokea bench/Sub - 6
Mechi ambazo hakucheza - 13

EPL 2020/2021

Mechi alizocheza full - 2
Mechi alizotokea bench/Sub - 1
Mechi ambazo hajacheza - 5
 
Hao watakupinga tu kwasababu wanajifanya wafia timu, ila Son ni mtu hatari sana huwezi kumcopare na pulisic huo ni ukichaa
 
Sasa unavyoona pulisic na Son nani zaidi ya mwenzie?

Jamaa katoa maoni yake na Son 1sawa na pulisic 20,huo ndio ukweli... [emoji23]
Ni kweli niongeze kama hesabu zinakwenda hivyo basi son 1=pepe 89,willian 78 unaonaje hesabu mzee wa fituhi?
 
Ni kweli niongeze kama hesabu zinakwenda hivyo basi son 1=pepe 89,willian 78 unaonaje hesabu mzee wa fituhi?
[emoji23] [emoji23] Inachoma kama pasi, nimehuzunika sana kuona mnafananisha Son jeshi na huyo kijana wa MOI! Hayo mengine ni yako ila mvumiliage ukweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Naona mmeamua kutumia mfumo wangu 1 player equal to =

Eti pepe 89 [emoji23]
Nimeona isiwe kesi kubwa sana Tanzania yetu stress ni kujitakia tu na nina wasiwasi hapo kwa pepe idadi inaongezeka kulingana na ubovu wa willian, Willian akiwa mbovu sana pepe anahakikisha anampita ubovu kwa mbali.
 
Wewe nahisi ndio hauko sawa. Huwezi kuwaita watu relegator na wakati tuko match day 8. Kama ni hivyo basi msiwe mnalia lia tukiwaita Arsenal midtable team kwa nafasi mliyopo sasa.
 
Aloo jibu zuri sana namimi nilifikiria hivi hivi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…