Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Hapo kweli anazinguaga aiseeLampard anachojua ni kuua vipaji. Pulisic anafanya vizuri upande wa kushoto, kocha anampanga kulia huku Odoi yupo benchi. Anafanya sub anamuingizia Abraham huku Giroud na magoli yake yupo benchi. Analazimisha Jogniho amalize dk 90 Huku Kovacic tuko benchi. Goli 3 zitaacha kurudi?
Lampard yupo Chelsea halafu fundi Ancellot yupo Everton hii ni dharau kwa tasnia ya ukocha.
Ila kaongea point usimbeze,[emoji23][emoji23]Account umefungua jana tar 23/10 umeanza na comments za aina hii.
Njoo na ID yako halisi wewe una weza kuwa capital letter wa aina nyingine aliyeibuka kwa muda mfupi akapotea ghafla
Kwani nilichosema kuhusu Lampard ni uongo? Naomba Mungu leo tufungwe goli 3+ kibarua cha lamaprd kuzidi kubwa hatarini.Account umefungua jana tar 23/10 umeanza na comments za aina hii.
Njoo na ID yako halisi wewe una weza kuwa capital letter wa aina nyingine aliyeibuka kwa muda mfupi akapotea ghafla
Kwanini umefungua ID nyingine kuyasema haya? HujiaminiKwani nilichosema kuhusu Lampard ni uongo? Naomba Mungu leo tufungwe goli 3+ kibarua cha lamaprd kuzidi kubwa hatarini.
Hawa ndio plastic fan wenyewe wanalalamika Odoi acheze akichezeshwa wataanza kulalamika Lampard anachezesha wa England wenzake. Hamna point hapo ni upuuzi tuIla kaongea point usimbeze,[emoji23][emoji23]
Waponze tu wenzio.Hapo kweli anazinguaga aisee
Leo akimuweka Pulisic kushoto. ,amuanzishe na yule afande kova,atembeze virungu hapo kati ,
Mnaimaliza mech first half, kama ile mech ya nusu fainal FA ,
Leo mkitoboa nitashangaa ,Waponze tu wenzio.
Southern Highland mbona kipengele Cha Pulisic kutochezeshwa kwenye nafasi umekikwepa kujibu hiv wewe kitu gani Cha tofauti unakiona wengine hatukioni kwa Lampard? Huyu kocha wako anamadudu mengi kiasi ambacho tunaweza kuandika hapa Kama essayHawa ndio plastic fan wenyewe wanalalamika Odoi acheze akichezeshwa wataanza kulalamika Lampard anachezesha wa England wenzake. Hamna point hapo ni upuuzi tu
Hakuna kocha hapo, amevunja rekodi zote mbovu Chelsea. Kocha hujui kuchagua mfumo wa kucheza, hujui kupanga kikosi, hajui kushinda kimbinu, Hujui kufanya sub. Kocha kadri siku zinavyokwenda unaua vipaji vya wachezaji. Akafundishe timu za daraja la pili hukoSouthern Highland mbona kipengele Cha Pulisic kutochezeshwa kwenye nafasi umekikwepa kujibu hiv wewe kitu gani Cha tofauti unakiona wengine hatukioni kwa Lampard? Huyu kocha wako anamadudu mengi kiasi ambacho tunaweza kuandika hapa Kama essay
Bigger than life
Aaron Arsenal
Halafu kweli una mawazo kama lampard,mnafananaNingekua Lamps..
Mfumo.. 4-1-3-2
Mendy
Cesar, Rudiger, Silva, Chilwell.
Kante.
Pulisic, Mount, Ziyech
Tammy, Timo.
Sub; Carballero, Recce, Christnsen, Jorginho, Haverts, Giroud, Odoi.
Ila Mimi sio super Frank.
Kila la kheri wanangu.. #KTBFFH #LONDONPRIDE
Mbona kikos kiko tofautHalafu kweli una mawazo kama lampard,mnafanana
Mfumo 4-2-3-1 (failed under lamps)
Mfumo 4-3-3 (cumbersome to use)
Leo mfumo wa 343 unaweza utalipa
Pulusic Werner Odoi/Ziyech
Chilwel Kovacic Kante James
Zouma Thiago Azip
Mendy
Hapo kafanya la maana,bila mashabiki kupiga kelele angeingia na mfumo kama huo alioutaja jamaa...Mbona kikos kiko tofaut
Lamps ameingia na 343
Mi huwa nasema lampard anambania sana kova,lakini yule jamaa ana uwezo mkubwa sanaLampard amesikia kilio changu 343 ila angempanga Kovacic ondoa Joginho
Ndio maana tunasema Lampard anaua vipaji. Kova mchezaji bora wa Chelsea msimu ulioisha, anampanga Jognho mzito, mzee wa kucheza rafu, mzee wa kipanik fasta na kuondoka mchezoniMi huwa nasema lampard anambania sana kova,lakini yule jamaa ana uwezo mkubwa sana
Jo badala ya KovaMfumo 4-2-3-1 (failed under lamps)
Mfumo 4-3-3 (cumbersome to use)
Leo mfumo wa 343 unaweza utalipa
Pulusic Werner Odoi/Ziyech
Chilwel Kovacic Kante James
Zouma Thiago Azip
Mendy