Bigger than life
Member
- Oct 23, 2020
- 93
- 94
Kama unaonekana hauna wazo zuri lakini kuna ukakasi wa ukweli hapa, tena tukicheza ule upumbavu dhidi ya Sevilla FC basi tumelala mapema mno kwa kichapo kitakatifu Chifu.Kesho n bora nikaangalie mpira nikiwa na matokeo yangu mfukoni kuwa tunafungwa sio chini ya goli 3
Anatengeneza historia kwa Lamaprd na sio kwa timu. Tunafahamu timu yetu inayo wachezaji wazuri wa kumfunga Man u ila kocha anatuangusha. Historia itabaki ole alimfunga Lamaprd mara 5 akiwa kocha wa Chelsea.Hivi yule oleguna akiwapiga leo tena, mtakuwa mnataka nini
Msimu umeopita kawagalagaza nje ndani, kawapa kipigo cha mbwa koko seburen kwenu darajana, akaona haitoshi akaenda chumban akamtia adabu lampard
Sasa leo inatakiwa ikiwezekana mfie uwanjan aisee
Yan oleguna atakuwa ametengeneza historia ya ajabu, misimu miwili kuwavunja daraja bila hata kumpapasa
Umeongea point mzee huo ndio ukweli wenyewe.Anatengeneza historia kwa Lamaprd na sio kwa timu. Tunafahamu timu yetu inayo wachezaji wazuri wa kumfunga Man u ila kocha anatuangusha. Historia itabaki ole alimfunga Lamaprd mara 5 akiwa kocha wa Chelsea.
Acha ujinga.Nawaombea mshinde Leo Chelsea , sioni kikosi cha Punda fc cha kuwasumbueni,
Ikishindikana kabisa tafuteni Sare
Lampard Aweke Pulisic kai ziyech Werner
Kuna Goli 4
Mtapigwa ,mnakikos gani nyie, Chelsea wanawalamba , wiki ijayo tunakuja kuwalambaAcha ujinga.
Mtapigwa ,mnakikos gani nyie, Chelsea wanawalamba , wiki ijayo tunakuja kuwalamba
Naona mshajisahau baada ya hizi mech 2 kuwa Ole sendeka ni mbahatishaji, mmeshasahau kampen yenu ya kumtimua
Mkipigwa Leo utapotea ,sasa hivi jifanye una iman nae[emoji23][emoji23]Usilazimishe tutapigwa utafikili umetuchonga.
Sisi tuna chukua points 3 leo, nakuja kukufanyia kitu mbaya week ijayo.
Kuhusu Ole, sio mashabiki wote wanao mkataa.
Tupo wengi tu tulio na imani nae.
Tuombe kwa Mungu Lampard amchezeshe Pulisic kwenye nafasi yakeMkipigwa Leo utapotea ,sasa hivi jifanye una iman nae[emoji23][emoji23]
Leo labda Lampard awakosee tu , kwa beki zile za Maguire ,na lindelof mchaga , kweli akiwawekea Ziyech, Pulisic ,kai na Werner tutashihidia vituko vya Maguire Leo[emoji23]
Hv Kante anakuwaga bora akisimama one man army kwenye midfield mwenyewe kweli? Naona lzm wapangwe wawili au watatu ktk midfield ya 433 na ndo makocha wengi wanampanga hata deschampsNingekua Lamps..
Mfumo.. 4-1-3-2
Mendy
Cesar, Rudiger, Silva, Chilwell.
Kante.
Pulisic, Mount, Ziyech
Tammy, Timo.
Sub; Carballero, Recce, Christnsen, Jorginho, Haverts, Giroud, Odoi.
Ila Mimi sio super Frank.
Kila la kheri wanangu.. #KTBFFH #LONDONPRIDE
Kwahiyo liverpool ushahama kwa muda? [emoji23] [emoji23]
Nimechoka kujibu ili swali, uwege makini nikiwa nawajibu wenzako 😆Kwahiyo liverpool ushahama kwa muda? [emoji23] [emoji23]
Lampard anachojua ni kuua vipaji. Pulisic anafanya vizuri upande wa kushoto, kocha anampanga kulia huku Odoi yupo benchi. Anafanya sub anamuingizia Abraham huku Giroud na magoli yake yupo benchi. Analazimisha Jogniho amalize dk 90 Huku Kovacic tuko benchi. Goli 3 zitaacha kurudi?Tuombe kwa Mungu Lampard amchezeshe Pulisic kwenye nafasi yake
Account umefungua jana tar 23/10 umeanza na comments za aina hii.Lampard anachojua ni kuua vipaji. Pulisic anafanya vizuri upande wa kushoto, kocha anampanga kulia huku Odoi yupo benchi. Anafanya sub anamuingizia Abraham huku Giroud na magoli yake yupo benchi. Analazimisha Jogniho amalize dk 90 Huku Kovacic tuko benchi. Goli 3 zitaacha kurudi?
Lampard yupo Chelsea halafu fundi Ancellot yupo Everton hii ni dharau kwa tasnia ya ukocha.