juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Declan Rice anatakiwa haraka sanaNiliwahi kusema wiki chache zilizopita. Kadri muda unavyozidi kwenda ni kama kiwango cha Kanté kinapungua hasa umakini uwanjani sasa kabla mambo hayajaharibika ni kwa nini asiuzwe halafu hela itakayopatikana tukaleta wachezaji damu changa na wa maana kama Rice au Eduardo Camavinga
Sema hivi vitu vinaishia tu kwa sisi mashabiki ila kiuhalisia Kante tunaelekea kumpoteza kihasara japo katusaidia. Laiti ningekua kwenye board nawakaribisha PSG na Inter atleast ndio timu zinauhitaji mno wa DM kama Kanté.
Kwa reece no, Azpi alimiliki eneo lake vizuri, aliyelemewa jana ni Ben Cillwell, mashabulizi karibu yote yalipitia kwakeMashabiki wa chelsea huwa hatukosi sababu pindi matokeo yanakuja tofauti huwa tunamgeukia kocha mara kwa mara siku mount asipoanza utaskia kwanini mount hakuanza siku akianzishwa utaskia why aanze
Kuna wengine wanalalamika y reec james ajaanza jana
Ila golin kuwepo kepa ni kama tunakuwa tunacheza huku goal liko wazi
Kwangu lampard anamakosa yake ila defence yetu inafanya mistake za hovyo ambazo zinatucost mechi hii wanacheza vizuri mechi ijayo wako hovyo na kibaya zaid defence ikifanya makosa tu na kepa hawez kuyaficha or kuyasahihisha hayo makosa lazima tutopigwe,Wakuu naomba tu discuss hapa najua nyie ni wafuatiliaji wazuri. Nyi mnahisi shida ya Lampard iko wapi mpaka mnasema ivyo? Labda pengine Lampard ndio amesababisha tukatoa draw au?
Siumeona huyo mount alichokifanya Jana me nilikuambia Pulisic kabadilishwa position kwa sababu ya huyo mount ndio maana kuonekana Hana impact kubwa, Lampard sijui anampendea Nini takataka ChristensenTuna backline nyepesi kuliko shati la mlevi. Kukosekana kwa Silva na Mendy ni pigo sana kwetu. Hawa The Saints wanaleta mazoea sasa mwaka jana walitufunga nyumbani, jana wamedraw . Yan sisi wenyewe tunaufanya uwanja wetu mgumu kupata matokeo.
Wala mil 200 hazikuenda bure, kinachotuadhibu ni kwamba manunuzi hatukumaliza, bado tunatakiwa kuingia sokoni. Man city walitumia mil zaidi ya 400, Liverpool zaidi ya 350 sasa sisi wa mil 200 tu ni nini hapo?. Chelsea inatakiwa kununua tena kwa kutumia mil 200 kwenye GK, CB hata wawili, LB wa kusadidiana na Chilwell, DM (Target Declan Rice) world class wa sio chini ya mil 60 ili ikitokea majeruhi kama ya Mendy timu iendelee kucheza. Wee angalia Liverpool wanavyoteseka kwa sababu tu Alisson kaumia wamemuweka Pazia pacha wake na KepaUmesaidia kuzalisha magoli yote matatu jana. Werner mawili akatoa na assist kwa Kai.
Kwenye Back line hakuwepo Mendy wala Silva. Chilwell alitoa assist kwa Werner goli la kwanza.
Tena anayejua kiingereza maana naona Silva akifoka kwa Kifaransa hawamuelewiMkuu usajili wa dirisha dogo January tunahitaji CB matured awachape vibao na makonzi kina Chris. Huwezi kufanya blunders kama zile mtu aendelee kukuchekea tu.
Hali ile inawachosha mafoward na inakata morali yao kuendelea kupambana
Game plan ya kuwin back balls hakuna yaani unakuta opponent anarun na mpira miguuni kwa watu wanamtazama tu, akuna pressing ya maana wala quick movement ya kunlock defence, matatizo ya set pieces bado hayana ufumbuzi kweli mabeki ni tatizo na hawana confidence ya kucheza high lines why kocha analazimisha mfumo usioendana na resources, yaan ukitaka umkingie kifua Lampard ni kutumia paund zaid ya mil 100 kuoverhaul na kuleta wachezaji wapya 5Wakuu naomba tu discuss hapa najua nyie ni wafuatiliaji wazuri. Nyi mnahisi shida ya Lampard iko wapi mpaka mnasema ivyo? Labda pengine Lampard ndio amesababisha tukatoa draw au?
Hapa tutasajili kwanza beki january or dirisha kubwa atakae kuja kucheza na thiagoNiliwahi kusema wiki chache zilizopita. Kadri muda unavyozidi kwenda ni kama kiwango cha Kanté kinapungua hasa umakini uwanjani sasa kabla mambo hayajaharibika ni kwa nini asiuzwe halafu hela itakayopatikana tukaleta wachezaji damu changa na wa maana kama Rice au Eduardo Camavinga
Sema hivi vitu vinaishia tu kwa sisi mashabiki ila kiuhalisia Kante tunaelekea kumpoteza kihasara japo katusaidia. Laiti ningekua kwenye board nawakaribisha PSG na Inter atleast ndio timu zinauhitaji mno wa DM kama Kanté.
Kwa nini Lampard asimchezeshe Azpi kwenye RCB wa kulia na Reece achukue nafasi yake ya RB?. It is high time to getrid of Christensen kabisa aonekane tu Karabao CUp na FA mechi za mwanzoniKwangu lampard anamakosa yake ila defence yetu inafanya mistake za hovyo ambazo zinatucost mechi hii wanacheza vizuri mechi ijayo wako hovyo na kibaya zaid defence ikifanya makosa tu na kepa hawez kuyaficha or kuyasahihisha hayo makosa lazima tutopigwe,
Ndio ni ngumu kwa mabeki kucheza 38 games bila kufanya makosa ila bek zetu zimezid
Ni mda wa lamps kwenda na
Mendy
Azp t.silva zouma chil kama wakiwa fit wote
Sasa kama vile vipass vya vile vinawapa pressure je wangekuws wanakutana na mipira anayokutana nayo neur kutoka kabisa golin sindio wangekuwa wanachoma kila kukichaNa mnaolaumu kepa na mabeki huwa mnaangalia vizuri mechi? Wana mapungufu yao sikatai lakini zile back passes huwa zinawapa sana presha mabeki.
Mwisho wa siku tunarudi pale pale, mbinu hana lampard
Unamaanisha azp acheze DM au RCBKwa nini Lampard asimchezeshe Azpi kwenye DM wa kulia na Reece achukue nafasi yake ya RB?. It is high time to getrid of Christensen kabisa aonekane tu Karabao CUp na FA mechi za mwanzoni
Bado Zouma ni CB wa kutegemewa kwa sasa labda ashuke kiwango, Mistake ya jana kama umefuatilia ni minimal kabisa. Aliyefanya blunfder kubwa ni Kepa anayezuia mpira utafikiri tenesi. Zouma kaupiga mpira weak lakini ulimfikia Kepa kwa muda muafaka, yeye akapishana nao, alipoufuata tena badala ya kuucheza kwa mkono akweka sarakasiHapa tutasajili kwanza beki january or dirisha kubwa atakae kuja kucheza na thiago
Kuwategemea wakina zouma na christensen pale thiago anapokuwa hayupo tutakuwa tunapata matokeo tulio yapata jana
Naamaanisha CB wa kulia ambayo huwa anacheza kwenye 3-4-3Unamaanisha azp acheze DM au RCB
Hakuna siku duniani Kocha kapewa sifa nzuri akifanya vibaya, hata aje kocha mzuri namna gani akiboronga atatukanwa tu!Na mnaolaumu kepa na mabeki huwa mnaangalia vizuri mechi? Wana mapungufu yao sikatai lakini zile back passes huwa zinawapa sana presha mabeki.
Mwisho wa siku tunarudi pale pale, mbinu hana lampard
mount ni utopolo kabisaSiumeona huyo mount alichokifanya Jana me nilikuambia Pulisic kabadilishwa position kwa sababu ya huyo mount ndio maana kuonekana Hana impact kubwa, Lampard sijui anampendea Nini takataka Christensen
kwa nn wapige back pass huku wanajua kabisa uwezo wao wa kuhandle presha n mdogo ?Na mnaolaumu kepa na mabeki huwa mnaangalia vizuri mechi? Wana mapungufu yao sikatai lakini zile back passes huwa zinawapa sana presha mabeki.
Mwisho wa siku tunarudi pale pale, mbinu hana lampard