Kaa kwa kutulia ukimsubiria Oblak wa EPLBila ile assist tusingebeba ndoo
Kaa kwa kutulia wakati kesho Zaha akijipigia kepa mweusi
We jamaa msanii sqna. Kwanza swali hujajibu pili ushahamisha habari.Hehehe msimu mzima Hazard kuscore zaidi ya goli 15 ndiyo ulikua wa mwisho Chelsea. Mkawabambika Madrid maskini.
It's the league that counts. Lampard alisaini misimu 3 unahisi ataongezewa muda?
[emoji23][emoji23][emoji23] kashindwa kujibu swali ameingiza habari za Hazard halafu ananiuliza eti kama Lampard watamuongezea mkataba.[emoji23]Southern Highland una maswali ya kichokozi mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yah nimeona kakupiga chenga ya kisigino hiyo ndio dawa ya ushabiki maandazi[emoji23][emoji23][emoji23] kashindwa kujibu swali ameingiza habari za Hazard halafu ananiuliza eti kama Lampard watamuongezea mkataba.[emoji23]
Unamjua kama nani? [emoji23][emoji23]Hujatoa maoni kama mwanamichezo umetoa kiushabiki tu. Labda nikwambie Klopp alishindwa kumsajili Werner kwa sababu aliona bei ni kubwa na siyo kwamba mchezaji ni mbovu. Pia kwa mimi ninayemjua Timo vizuri hata hanipi shaka kabisa kwa sababu kwa mechi alizocheza zinajieleza kabisa ni kwa namna gani ni hatari kwa timu pinzani ndio maana hakosi kuanza kila siku.
Ingekua vizuri ukafanya tathimini ya bwana comrade K kuliko kumjadili Timo. Mnamuhofia sana siyo?
Yani huyo jamaa kaibuka from Nowhere anapita kila Uzi na Matusi balaa.
Nadhani anatambulisha ID yake
Duh mmeshabadili sasahv ...nyie kwenye Uzi wenu si mlikuwa mnaandika vichekesho vya kuwa mabingwa wa EPL baada ya kuwafunga fulhamTuna hati miliki ya FA , kwaio tunabeba tena...... pia tunabeba hii carabao.... Ligi tunamuachia Liverpool... Uefa watabeba wababe kama Bayern/Madrid.......
NINYI CHELSEA MUENDELEE KUJIANDAA NA MSIMU UJAO WA 2021/2022.
#COYG
#COYG
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaa kwa kutulia ukimsubiria Oblak wa EPL
Arteta vipuliUnamjua kama nani? [emoji23][emoji23]
Palace tutashinda ,zaha ana jambo lakeGame ya kesho ya chelsea na Crystal Palace naona chelsea ikichezesha watu wapya atashinda kwa tabu au atasuluhu.
Ushindi wa Crystal utategemea mabeki na kipa ambaye lampard ataamua kumuweka golini.
Crystal wana tatizo lile lile. Ni timu inayojiona matawi tofauti na level yake so hua wanataka kucheza kama Bayern kumbe ni Crystal.
Kesho tunashinda bila shida. Niliona game yao na Eveeton ni wagumu sana wanacheza kwa nguvu kutafuta matokeo, ila ubaya wao wanacheza kumtegemea mchezaji mmoja awape matokeo.Game ya kesho ya chelsea na Crystal Palace naona chelsea ikichezesha watu wapya atashinda kwa tabu au atasuluhu.
Ushindi wa Crystal utategemea mabeki na kipa ambaye lampard ataamua kumuweka golini.
Crystal wana tatizo lile lile. Ni timu inayojiona matawi tofauti na level yake so hua wanataka kucheza kama Bayern kumbe ni Crystal.
VP ishu na westham kuhusu declan riceHabari njema kwa RLC anaweza enda timu ya mkopo ili apate nafasi ya kuchezaView attachment 1588570