Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wazee wezangu kwa Mendy pale tumeibiwa [emoji23][emoji23]
 
Timo alikua offerred kwa Klopp. Klopp akaambiwa fee ni 45M akasema ni nyingi akaachana na Werner, Chelsea wakamchukua.

Klopp akatumia 43M kumsajili Diogo Jota.

Nikaona Klopp miyeyusho kaacha ST aliyejiestablish kule Bundes kwa 45M halafu anatoa 43M kwa ajili ya Jota?

Fast forward mpaka leo.

Diogo Jota ana goli moja la ligi na Werner hana goli. Nasikia bado anazoea ligi.
 
Kama striker ya chelsea ikikomaa fasta naona kwenye grup lake wakishika nafasi ya kwanza.

Ikiendelea kua hivi ilivyo itakua ngumu kutoboa
 
Hujatoa maoni kama mwanamichezo umetoa kiushabiki tu. Labda nikwambie Klopp alishindwa kumsajili Werner kwa sababu aliona bei ni kubwa na siyo kwamba mchezaji ni mbovu. Pia kwa mimi ninayemjua Timo vizuri hata hanipi shaka kabisa kwa sababu kwa mechi alizocheza zinajieleza kabisa ni kwa namna gani ni hatari kwa timu pinzani ndio maana hakosi kuanza kila siku.

Ingekua vizuri ukafanya tathimini ya bwana comrade K kuliko kumjadili Timo. Mnamuhofia sana siyo?
 
Exactly ndiyo nilichosema kwamba alisema gharama kubwa au kuna sehemu nimesema alisema werner hana kiwango?
 
Comarde k ndiyo nani huyo?
 
Exactly ndiyo nilichosema kwamba alisema gharama kubwa au kuna sehemu nimesema alisema werner hana kiwango?
Statement ya mwisho umesema Jota ana goli moja EPL na Werner hana inaashiria Timo si kitu kwa hiyo tumepigwa kama zenu za hivi karibuni
 
Aaah blaza unajitoa ufahamu kwamba ushamsahau?

Okqy basi, mchezaji mliyemchukua kwetu ambaye amekuja kuchukua namba yake uyo Comrade K. Najua ushamfahamu[emoji28]
Anhaaa yule jamaa aliyetoa assisst kwa Aubameyang ile siku ya fainali ya FA? Tukawapiga 2 kwa 1
 
Hehee.. hiyo assist ndio kikubwa pekee cha kujivunia kutoka kwake? [emoji28][emoji23]
Hapana. Msimu uliopita amehusika katika goli 18 za Arsenal. Msimu huu tayari goli mbili kazicreate kwenye ligi siyo carabao kama nanihii na mwenzie
 
Goli 18 katika mechi ngapi?
Hehehe msimu mzima Hazard kuscore zaidi ya goli 15 ndiyo ulikua wa mwisho Chelsea. Mkawabambika Madrid maskini.

It's the league that counts. Lampard alisaini misimu 3 unahisi ataongezewa muda?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…