Mimi huwa sikurupuki kuweka taarifa za uongo ila wewe kwa kukurupuka bila hata kutafiti umeibuka na suala la coronaAcha uongo wewe Alcantara anasumbuliwa na corona sio fitness issues kama ulivyoandika, hii tabia ya kujidai mnajua kilakitu ndio inawaumbua
DuhAcha uongo wewe Alcantara anasumbuliwa na corona sio fitness issues kama ulivyoandika, hii tabia ya kujidai mnajua kilakitu ndio inawaumbua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tuna hati miliki ya FA , kwaio tunabeba tena...... pia tunabeba hii carabao.... Ligi tunamuachia Liverpool... Uefa watabeba wababe kama Bayern/Madrid.......
NINYI CHELSEA MUENDELEE KUJIANDAA NA MSIMU UJAO WA 2021/2022.
#COYG
#COYG
Hahaha mi nashabikia Arsenal. Sasa mzee umebisha ukweli kwa kujigamba. Umeletewa ukweli unataka kuanza kujipimisha level za ushabiki. Kipimo cha uplastic ndiyo kama ukigeugeu uliouleta
Kaka heshima yako hii ndio dawa ya plastic fan kama hawa.
Wewe ndugu unapenda kusema uongo eti hujawahi mvunjia heshima shabiki yoyote wa Chelsea na bado hapo hapo unafanya haya. Utasema ni utani ila kwa mwanaume kuwekwa kwenye kundi la wanawake ni dharau kubwa sana labda wewe unaweza kufurahia ila mimi umenikwaza.
Nili screenshot makusudi kwa kuwa nilijua ukijua ziko wapi utaenda kufuta. Haitakiwi ifutwe ili uongo wako udumu na ujirekebishe kuropoka na kusahau
Ninyi Ng'ombe F.C nadhani amejifunza kwetu namna ya kuzicheza mechi kubwakubwa. Next time msitolewe kiboya wajinga nyie
#COYG.
#COYG
Tuna hati miliki ya FA , kwaio tunabeba tena...... pia tunabeba hii carabao.... Ligi tunamuachia Liverpool... Uefa watabeba wababe kama Bayern/Madrid.......
NINYI CHELSEA MUENDELEE KUJIANDAA NA MSIMU UJAO WA 2021/2022.
#COYG
#COYG
Sasa mkuu neno mjinga imetoka wapi hapo. Kwann usishangilie tu kumtoa liver kwa penalti?
Huwezi shangia bila kutukana?
Kwahiyo mtu asiposhabikia liva automatically unakua umemzidi ushabiki? Hahaha hatari.. Anyway sitafuti kitu as dunia nzima wewe ndiyo shabiki namba moja so keep up the spirit. Wengine tutajifunza kwako.Ndiyomana nikakwambia hufikii hata nusu ya ushabiki wangu! Katafute maana ya Plastic Fan.
Hahaha mi simoAsije tu akakazwa
Europa piaTuna hati miliki ya FA , kwaio tunabeba tena...... pia tunabeba hii carabao.... Ligi tunamuachia Liverpool... Uefa watabeba wababe kama Bayern/Madrid.......
NINYI CHELSEA MUENDELEE KUJIANDAA NA MSIMU UJAO WA 2021/2022.
#COYG
#COYG
Wenzenu jana walikuwa bize na ratiba ya makundi Uefa nyie mlikuwa bize na Carabao cup [emoji23][emoji23]Siku zinakuja hili jukwaa tutalimiliki
Chelsea wote watalikimbia
NB: Huyu ni kepa aliyepaka OilView attachment 1587812
Wewe uwe bize na calabao wakati ushafurushwa na wanaojua[emoji23][emoji23]hata huko ni suala la muda tu, tehWenzenu jana walikuwa bize na ratiba ya makundi Uefa nyie mlikuwa bize na Carabao cup [emoji23][emoji23]
Mbona unateseka?Sawa sawa ngoja nitunze hii komenti. Unafikiri ulivyomfunga gadiola last utamfunga tena?[emoji23][emoji23]