Ubora wa Rudiger unaweza kumfananisha na huyo takataka Rudiger akiuzwa tutakuja kujutaChristensen ana spidi kuliko Rudiger, wote kwa nyakati tofauti wanakosa concertation uwanjani, Beki pekee aliyejitahidi japo bado hajafikia viwango no Zouma, Tomori ndio kwanza very risky, saa nyingine anasahau kama yuko uwanjani. Na ndio maana Lampard anapigania Declan Rice aje kuwa CB
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 swali zuri sanaMkuu mbona wewe ID yako ni ya kiingereza
42yoHappy birthday Caba
How old are now!
View attachment 1584433
Katika mechi za hivi karibuni na katika mazoezi Rudiger hafanyi vizuri tofauti na Christensen na ZoumaUbora wa Rudiger unaweza kumfananisha na huyo takataka Rudiger akiuzwa tutakuja kujuta
Umefufuka tenaNyie cheltyako leo sisi spurs tuna jambo letu hapa.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata tukishinda pia utoe live updatesTulia ww, leo tutakuwa hapa majira ya 4 usiku, tukileta live updates
VAR ni mahususi kwa liverkuku na manureVAR ilifanya yake mkuu, hatuna upepo nayo sisi.. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jota handball
Mane redcard
Na wakala wao Lacazette[emoji119]
Ila bado tuna game nao nyingine mbili, [emoji23]
Huyu Mane alivutwa bega tu na Christsen refa akatoa umeme via VAR, jana yeye kampiga mtu kipepsi VAR imekausha
TUONANE BADAE HAPA
Lampard huyo huyo alituaminisha Giroud kaisha hakumpa nafasi kabisa mpaka alivyoumia Abraham ndio akampa Giroud kilichotokea umekiona.Msimu Huu tokea uanze alzipicueta hakupewa nafasi kabisa je Ni kweli alzipicueta kaisha uwezo?Katika mechi za hivi karibuni na katika mazoezi Rudiger hafanyi vizuri tofauti na Christensen na Zouma
"On Rudiger, I’ve got five centre-backs at the club. I can’t pick a squad that has three of them on the bench,’ said Lampard. ‘That’s the way it is,
I have to pick the squad via training and situations and the opponents and that was a selection one today.’"
Ubora wa jana na juzi kwenye ligi yenye ushindani kama EPL haimati sana
FL anasema hao wanaopangwa ndio wanaofanya vizuri kwenye mazoezi na hawezi kuwaweka benchi CB watatu
Kumbuka sasa kuna CB literally wako sita pamoja na Azpi
Wanaotakiwa kucheza ni wawili na ikizidi sana benchi wanatakiwa wawili kwa sababu jumla ya benchi wanaotakiwa ni 7
- Silva
- Zouma
- Christensen
- Tomori
- Rudiger
- Azpi
Azpi huwezi kumuacha kama yuko fiti kwa sababu anaweza cheza CB, LB na RB
- Striker 1
- Winga 1
- Viungo 2
- Mabeki 2 (CB na LB/RB)
- Kipa moja
Kama Zouma na Christasen wakicheza lazima wawili watokomee nje ya benchi kabisa kati ya Rudiger, Silva na Tomori
Kama Zouma na Silva wakicheza lazima aidha Christesen, Tomori au Rudi akae benchi na wawili wasepe
Anayekaa benchi au kucheza ni yule aliyefanya vizuri kwenye mazoezi
Wakirudi akina Pulisic, Ziyech, Ben Chiwell, wachezaji wetu pendwa wengi hata hatutawaona kwenye benchi, ndio shida ya ushindani kwenye timu kubwa
Hao wachezaji pendwa tutakuwa tukiwaona tu kwenye FA na Carabao mechi za Mwanzoni
Wote wakiwa wazima tutegemee wachezaji watakaokuwepo regularl kwenye mechi za EPL ni hawa
Sub
- E. Mendy
- B. Chilwell
- T. Silva
- K. Zouma
- C. Azpilicueta
- N. Kante
- Kovacic
- K. Havertz
- H. Ziyech
- C. Pulisic
- T. Werner
Hali ya hewa inaelekea kuwa hivyo ndio maana kuna wachezaji wengi wataforce kuondoka kabla dirisha halijafungwa aidha kwa mkopo au kuuzwa one of them ni akina
- Kepa
- R. James
- A. Christensen
- B. Gilmour
- Mason Mount
- H. Odoi
- Tammy Abraham
- Tomori
- Rudiger
- Alonso
- Jorginho
- RLC
- Ross Barkley
Sasa mkuu unataka wawahishwe halafu wapate majeraha tena? Mna shida gani nyieZych na pulisc wasicheze mpka mwakan mwez wa 9 ndio watakuwa fit nimechoka n ngolongolo za lampard
Atleast kikosi kimetuliaChelsea vs Spurs Line up
View attachment 1584432
Mkuu punguza kuwafokea. Waonee huruma [emoji23]Kai Havertz already has 4 G/A in 4 games
Pepe had 5 goals in 31 PL games last season and is benched by our 32 year old reject. Stay in your lane.
Kuna watu watakuja kupinga hichi kikosi utaskia kwa nini flan hakuanzaKikosi cha leo 4-2-3-1
Giroud
Werner-Mount-Odoi
Kovacic-Jorginho
Chilwell-Tomori-Zouma-Azpi
Mendy
hapo hukuchambua umeongea kwa hisia zaidiLampard huyo huyo alituaminisha Giroud kaisha hakumpa nafasi kabisa mpaka alivyoumia Abraham ndio akampa Giroud kilichotokea umekiona.Msimu Huu tokea uanze alzipicueta hakupewa nafasi kabisa je Ni kweli alzipicueta kaisha uwezo?