Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We kweli arsenyeto kk...kwahyo kai alitolewa kwasababu alitia aibu game y liver au tulihitaji ingizo LA defender baada ya ile red card? Mbona comrade kipepe hatujamuona akifunga kwenye game rahis za msimu uliopita...?
 
Majibu mnayapata sasa mnaanza kuongea wenyewe na mtajijibu wenyewe. Havertz mumponde wenyewe leo mnaanza kusema sisi ndio wapondaji. Tumecheza mechi mnaanza kuita timu ndogo nikauliza hata kama ni timu ndogo si wote wanacheza mpira maana mlivyoongea ni kama wale Barnsley hawakua kwenye field yao labda wao ni wacheza golf ndio maana tumewafunga 6 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bila shaka Chelsea naamini hatujapigwa kwa mendy
Mmepigwa

Ni swala la muda tutakuja hapa kuwaeleza kama ilivyokuwa kwa kepa ,

Uliona lini ndan ya miaka 10 kipa muafrika EPL tena big 6?

Kipa wa mwisho aliyesumbua na ni muafrika alikuwaga Liverpool miaka hiyo

Mtakuja hapa kulalamika mrudi tena sokoni kusaka kipa
 
Majina yamekudanganya hapo. Regular starter wetu ni Azpilicueta napo ni mechi ya kwanza toka injury, Kovacic, Tammy na Mount. Kante, Werner na Christensen hawakuwepo kwenye squad.

Hapo Ziyech, Pulisic Gilmour hawajarudi. Ndugu kama majina yameanza kukupa wenge ivi wakirudi miamba wenyewe si mtabaki midomo wazi. Hapo ndio mnaanza kuelewa maana squad depth. Ngoja timu iendelee kuelewana.
 
Waganga wa kienyeji mchwara utawajua tuu πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Ndio maana hata jana Comrade Kipepe alianza first eleven yenu [emoji23][emoji23]
 
Waganga wa kienyeji mchwara utawajua tuu [emoji848][emoji848][emoji848]
Tatizo hata Rennes huifatilii ,zaidi hapo umemuangalia YouTube

Nenda YouTube kaandike Kepa Best Saves au Kepa highlights

Utarud hapa utasema kwanini Analetwa kipa mwingine wakati Kepa ni zaidi ya Neur[emoji23][emoji23][emoji23]
 
We kweli arsenyeto kk...kwahyo kai alitolewa kwasababu alitia aibu game y liver au tulihitaji ingizo LA defender baada ya ile red card? Mbona comrade kipepe hatujamuona akifunga kwenye game rahis za msimu uliopita...?
Haka kashkaji kameamua kuandika matusi.

Itaje game rahisi ambayo hakuscore.
 
Tangu msimu uanze hii ni game ya pili. So judging ya anayeanza na asiyeanza tunaifanyia kwa previous season.

Ila kwakua umesema timu yenu haielewani ngoja tuone wakielewana itakuaje.
 
Ndio maana hata jana Comrade Kipepe alianza first eleven yenu [emoji23][emoji23]
😁😁😁 huyu Pepe kashascore dhidi ya timu ngumu. Kaassisst, katoa key passes. Kazi ni kwenu

Nasikia mna kipa mpya
 
Mendy, amefika na tayari watu wapo hyped na ujio wake. Mwokozi amefika au siyo?

Beki ni Zouma na Tomori bado?

Ligi aliyotokea inakupa imani ya kumuacha golini kwa haraka? Now tusiangalie ligi, tuangalie takwimu.

Goals Conceded:
- Mendy = 0.79
- Kepa = 1.41

Post Shot Goals
- Mendy = +1.7
- Kepa = -9.6

Crosses Stopped
- Mendy = 10.2%
- Kepa = 7.2%

Save
- Mendy = 78.4%
- Kepa = 54.5%

Bonasi ni kwamba Mendy akiwa na mpira miguuni anakua na utulivu kuliko Kepa.

Lakini tukumbuke ligi ya ufaransa ilimalizwa haraka kutokana na corona so stats zingeweza kupanda au kushuka kwa Mendy.
Na pia inaonyesha kwamba Kepa alikua akiexperience mashambulizi na mashuti kuzidi Mendy.

Pia Mendy atakuta mabeki wamebadilika so inaweza kuijaza CV yake positively.

Chelsea ililipa 72M kwa ajili ya Kepa. Kwa kilichotokea imekua somo tosha hivyo wameogopa kurisk tena na kutoa pesa zaidi kwa ajili ya Oblak and the likes na kuamua kusettle kwa Mendy mwenye price tag ya 15M.

So hofu ya kuinvest kipuuzi itakua imeinfluence hii deal kuliko chochote. Hope atashine tho.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…