Hufai kabisa kwenda vitani,askari gani unayekata tamaa mapema kiasi hicho.Wanachelsea wenzangu naona kama bado hatuna timu ya kuweza kushindania ubingwa bali tuna timu ya kupunguza gap la point 33 kwenda labda kwenye point 10-15, Pia ninaamini tukiweza kuwaondoa akina barkley, jourginho, alonso, emerson na wanaofanana na hao na tukiweza pia kuwafanya akina Mount, Odoi, Zouma, Christensen, Kepa kuwa SUB halafu tukaweza kusajili CB wawili, DM mmoja na Kipa world class hata kama Mendy atasajiliwa, basi baada ya hapo tunaweza kushindania ubingwa wa epl au uefa
Akina Kepa, Barkley, RLC Jourgninho na Odoi ndizo silaha ambazo siziamini kabisaHahahaha[emoji23] sasa atang'ang'ania kwenda vitani na silaha ambazo hajui kuzitumia?
Vita bado sana, haya matikiti maji, matembele, mapeazi, mafenesi, matango, mapera ndizo tutakazozitumia hadi mwisho kwenye vita na ndio maana sioni timu ya kushindania ubingwa. Akiumia Pulisic tunaye Barkley, Akiumia Ziyech tunaye Odoi, Akiumia Kante tunaye Jorginho. Haya na mchanganyiko utaendelea hadi ligi ifikie mwishoUshindi wa tabu, bado kikosi chetu kinachanganywa matikitiki maji, matembele, mapeazi, mafenesi, matango sehemu moja
Mpe ukweli huyo Cha uwogaHufai kabisa kwenda vitani,askari gani unayekata tamaa mapema kiasi hicho.
Angalau odoi kuliko hao wengineAkina Kepa, Barkley, RLC Jourgninho na Odoi ndizo silaha ambazo siziamini kabisa
Watu Wavell kisa man you kibondeTutashinda wakuu msiwaze.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Wamelala kachana na mikekaWatu Wavell kisa man you kibonde
Nawaonea huruma mno maana siku zenu kuwepo jukwaani zinakaribia kufika ukingoniMikel Arteta: W
Ole Gunner Solskajaer: L.
Now we wait for Kai Havertz to confirm Lampard L tomorrow.
Agenda must agend.
Nawaonea huruma mno maana siku zenu kuwepo jukwaani zinakaribia kufika ukingoniBlues Mtaweza kumfunga liverpool?
Kesho tutaishi hapa na bwana Alhaj Sadio Mane [emoji1787]
#Coyg[emoji837]
Kwani kimetokea nini kwa arsenyeto maana mindo naamkaNawaonea huruma mno maana siku zenu kuwepo jukwaani zinakaribia kufika ukingoniNawaonea huruma mno maana siku zenu kuwepo jukwaani zinakaribia kufika ukingoniView attachment 1574858
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasubiri sanaNawaonea huruma mno maana siku zenu kuwepo jukwaani zinakaribia kufika ukingoniNawaonea huruma mno maana siku zenu kuwepo jukwaani zinakaribia kufika ukingoniView attachment 1574858
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah acha matusi bcLeo wanangu wa Liverpool tunataka ushindi mnono
Golini kuna kepa ,tunataka Goli 5 na kuendelea
Wamepigwa bwana daKwani kimetokea nini kwa arsenyeto maana mindo naamka
Liverpool hawezi kushinda leo believe or not!,lakini ukweli nikwamba hawezi kuifunga Chelsea,msikalili.Leo wanangu wa Liverpool tunataka ushindi mnono
Golini kuna kepa ,tunataka Goli 5 na kuendelea
So unatusapoti tufungwe au tushindeSisi tunaingia humu, tunatia njaa muda wote lakini hatutukani,
[emoji1787] [emoji1787] Inakuwa sio vema kuja kule kwetu kutukana matusi,
Na leo tutakuwă hapa kuwasapot ndugu zetu wa London,
CHELSEA TUMEITAKA WENYEWE WACHA ITUUE[emoji23]