Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Hiv ndio anafanya kocha wa ufaransaMashabiki wengi ikiwemo me tunapenda Sana Giroud akae centre forward na Werner left ili wakati mabeki wata concerned kwenye kumkaba Giroud kutatengeneza space ambazo zitatumiwa vizuri Sana Werner pamoja na midfielder wetu tatizo kubwa la Lampard macho yake Ni madogo Sana kuona hili
Umeshasma kipindi cha Drogba hapo tunazungumzia miaka mitano nyuma hizo mbinu kwa sasa haziwezi kufanya kazi kila mtu keshazijua hizo mbinu. Ufanisi ninaoongelea hapa ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja hasa Giroud kuweza kutoka chini na kwenda kuongeza pressure kwa mabeki na Werner uwezo wa kuona chance ya goli.Kwani kipindi Cha drogba ilikuwa alikuwa anaondoka na mabeki wawaili wa Kati alafu anacha mwanya kwa wakina malouda kalou na Lampard kufunga au kile kipindi Cha Diego costa
Ahaa ngoja kwanza siku wakicheza arsenyeto na livakuku uta weka wapi? Hiyo laki moja yako tuone hayo maisha simpleHiyo Sunday sijisumbui..
Nawapa Liverpool ushindi na goli 3
Naweka laki 1, inakuja laki 2!
Mbona maisha simple tu.
Kwani kocha wa ufaransa kafanikiwaje si kwa njia hii ndio maana Giroud kwake Ni chaguo number 1 au mpira ufuatilii?Umeshasma kipindi cha Drogba hapo tunazungumzia miaka mitano nyuma hizo mbinu kwa sasa haziwezi kufanya kazi kila mtu keshazijua hizo mbinu. Ufanisi ninaoongelea hapa ni uwezo wa mchezaji mmoja mmoja hasa Giroud kuweza kutoka chini na kwenda kuongeza pressure kwa mabeki na Werner uwezo wa kuona chance ya goli.
Kabisa mzeeNi kuumiza na kuchosha akili kuendelea kumfuatilia Lampard upangaji wake wa kikosi na mbinu zake uwanjani.
Ngoja iishe kwanza harusi yako kesho ndio tuongee hayo mengineAhaa ngoja kwanza siku wakicheza arsenyeto na livakuku uta weka wapi? Hiyo laki moja yako tuone hayo maisha simple
we harusi yako inakuja soon nyie furaha yenu ni ya muda tuNgoja iishe kwanza harusi yako kesho ndio tuongee hayo mengine
Mkuu tuishie hapo uko sawa kwa upande wako nami niko sawa kwa sababu unachokiona ndio ni sawa lakini sicho wanachomaanisha na ndicho nilichokua nakuelezea mimi.Kwani kocha wa ufaransa kafanikiwaje si kwa njia hii ndio maana Giroud kwake Ni chaguo number 1 au mpira ufuatilii?
Hahaaa hata mm sijisumbuiHiyo Sunday sijisumbui..
Nawapa Liverpool ushindi na goli 3
Naweka laki 1, inakuja laki 2!
Mbona maisha simple tu.
Tumia lugha nzuri mkuu, wala hutopata hasara yoyote... [emoji23] Sana sana heshima ambayo ni faida kwakoAhaa ngoja kwanza siku wakicheza arsenyeto na livakuku uta weka wapi? Hiyo laki moja yako tuone hayo maisha simple
Kwani Kepa bado yupoyupo[emoji1787]Hahaaa hata mm sijisumbui
Ukikutana na Chelsea ,forward zako zina uhakika wa kupata mashuti Angalau matano tu kwa mech nzima ,basi una uhakika wa goli 2-3
Kesho utajua hujuiKilichokupelekea useme kesho hatutoboi ni nini?
Hiyo jeuri huna,jaribu tuone kama hutakufa kwa pressure,Hiyo Sunday sijisumbui..
Nawapa Liverpool ushindi na goli 3
Naweka laki 1, inakuja laki 2!
Mbona maisha simple tu.
Ni kweli kabisa, wakimdhibiti Giroud, Werner anafanya vitu, wakimdhibiti Werner, Giroud anafanya vitu. Hata akina Odoi, Mount Havertz watapata space ya kufanya wanachotaka. Zaidi ya hapo watashindwa kupanda watakavyo na kwa hiyo mabeki wetu watafichiwa madhaifu yaoMashabiki wengi ikiwemo me tunapenda Sana Giroud akae centre forward na Werner left ili wakati mabeki wata concerned kwenye kumkaba Giroud kutatengeneza space ambazo zitatumiwa vizuri Sana Werner pamoja na midfielder wetu tatizo kubwa la Lampard macho yake Ni madogo Sana kuona hili