Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Watu loyal wanajulikana. Hapa Thiago alishakutana na Lampard wakiwa ma Captain national team lakini Thiago heshima kwa Lampard kama kawaida. Lakini kuna mchezaji kaambiwa usipojituma utakosa namba katafuta mlango wa kutokea [emoji23][emoji23]
 
 
Chelsea ni mtoto wa kambo pale london,ni ndugu zetu tunawapenda ila tukikutana lazima tuwagonge [emoji3]

#Coyg[emoji837]
Arsenal ni Takataka tu....ila mkuu mnachekesha kweli kwenye Uzi wenu eti mnasema kabisa mwaka huu arsenal bingwa..
 
Yule kepa msimuweke golini kama hamna kipa mwingine

akae japo mchezaji wa ndani kesho ,lasivyo mtakuja kuniambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akimuweka hata winga ya kulia poa 2 ...si tunachotaka havertz acheze nyuma y mshambuliaji...n Werner atokee kushoto
Ni ngumu Sana kwa akili ya Lampard kumpanga Giroud mbele na Werner amchezeshe kushoto zaidi atakujazia midfielders wengi na Werner atampanga centre forward.
 
Ni ngumu Sana kwa akili ya Lampard kumpanga Giroud mbele na Werner amchezeshe kushoto zaidi atakujazia midfielders wengi na Werner atampanga centre forward.
Kwa nin unasema ivo na wakati ndo kwanza tumecheza mechi moja? Werner anafit kotekote kati ya striker na RW. So kuongeza ufanisi kwenye ushambuliaji anaweza kumpanga Giroud kama striker then Werner akacheza pembeni.
 
Kwa akili ya Lampard Ni ngumu kumuacha mtoto wake mpendwa mount bench
Hata kama atacheza LW siyo mbaya ila naona kuwaweka pamoja ma CAM halafu wadogo(maturity) inaleta mkanganyiko kati yao. Bora akae Odoi ambaye hata game ya mwisho alileta effect. Au anaweza kumuanzisha Mount then baadae Havertz akaingia kama sub ya Mount.
 
Kwa nin unasema ivo na wakati ndo kwanza tumecheza mechi moja? Werner anafit kotekote kati ya striker na RW. So kuongeza ufanisi kwenye ushambuliaji anaweza kumpanga Giroud kama striker then Werner akacheza pembeni.
Mashabiki wengi ikiwemo me tunapenda Sana Giroud akae centre forward na Werner left ili wakati mabeki wata concerned kwenye kumkaba Giroud kutatengeneza space ambazo zitatumiwa vizuri Sana Werner pamoja na midfielder wetu tatizo kubwa la Lampard macho yake Ni madogo Sana kuona hili
 
Siyo kwamba maono ya Lampard ni makubwa kuliko unachofikiri wewe ni rahisi kufanyika. Kwa sababu unaposema kuwazubaisha mabeki kwa mbinu hiyo ni kazi kwa sababu hakuna timu ita concentrate kumkaba mchezaji mmoja then impuuzie mwingine. Kinachoangaliwa hapa ni ufanisi kwenye ushambuliaji wakiwa wote wawili.
 
Kwani kipindi Cha drogba ilikuwa alikuwa anaondoka na mabeki wawaili wa Kati alafu anacha mwanya kwa wakina malouda kalou na Lampard kufunga au kile kipindi Cha Diego costa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…