Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Daah zile ban ziliwafundisha wengi sana kuna jamaa alikua anajiita Sergio kwenye majukwaa haya haya ya michezo tulikua tunapishana sana na ukipishana na naye ilikua ni mitusi kwemda mbele alikula ban ya maisha mpaka leo sijamuona tena.

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Omba zisirudi, maana humu hatobaki mtu.. [emoji23] [emoji23] Wote wehu
 
JUMAPILI NA LIVER

4-2-3-1

-------------------------GIROUD-------------------------

WERNER----- HAVERTZ ------- MOUNT

KOVACIC ------- KANTE

AZPILICUETA -- ZOUMA ---CHRISTENSEN -- JAMES

-------------------------KEPA-------------------------​
Yeah hapa liverpool achomoki.
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je wajua ??
.
Kipa wa Chelsea Kepa Arrizabalaga ameokoa mashuti matano (5) tu kati ya mashuti 19 yaliyolenga lango lao.

Pazia[emoji1624]
 
Liverpool anaenda kuwapigeni 5 tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lampard. Confirms no Chilwell, Pulisic, Ziyech or Thiago Silva for Liverpool.

Chelsea 0 Liverpool 5[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Liverpool anaenda kuwapigeni 5 tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lampard. Confirms no Chilwell, Pulisic, Ziyech or Thiago Silva for Liverpool.

Chelsea 0 Liverpool 5[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe nyau si arsenyeto tukipigwa tano au saba wewe inakuuma nini au unawashwa nini
 
Kikosi dhidi ya Liverpool

-Giroud-
Werner-Havertz-Odoi
Kova-Kante
Azpilicueta-Zouma-Christensen-James
-Kepa-

Naona ni bora wasianze pamoja Havert na Mount kutokana na wote kujikuta wanaingiliana majukumu. Halafu pia jukumu la ukabaji akiwepo Kova akisaidiana na Kante inaweza saidia punguza pressure ya mashambulizi ya kina Salah. Liver wanakawaida ya kuanzia mashambulizi kutokea pembeni hasa kwa fullback wao TAA na Robertson kitu ambacho Azpi na James wanaweza kudhibiti. Kwa hiyo ni bora sisi tushike kiungo kwa maana ya mwanzo wa sisi kushambulia tucheze kati huku fullback wakizubaishana nasema ivyo kwa saba midfield ya sasa ya Liver ni kama sponge tu hawawezi kutuzidi kama tutaamua kuwakamata. Wijnaldum anaiwaza Barca, Alcantara hawezi cheza hii mechi, Chamberlain majeruhi, waliobaki hapo labda Keita lakini Fabinho atabaki kuishangaa ile price tag €80.00m ikifanya yake [emoji23]

Liver wanakaa kama Lampard atafanikiwa kudhibiti wings na Fullback kupanda panda. Otherwise hakuna rangi tutaacha kuona
 
Huyu lampard nae anazingua.. Pulisic last weekalisema yupo fit..

Ligi zinataka kuanza tukaambiwa hayupo fit..
 
Conference ya FL ni majanga tuu, kuna timu inakuja kuchukua point 3 pale darajani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…