Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Msishangae kuwaona humu na majukwaa mengine wakipiga umbea na kutukana tukana ovyo mnatakiwa mtambue hapo ni sawa na kipofu kaona mwezi tena wengi wao ndio kwa mara kwanza wanashuhudia timu yao ikiongoza toka waanze kushabikia. Kikubwa tujue namna ya kuishi nao baada ya mwezi najua hali zao zitakuaje hatutaona humu wala huko kwao.

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Badala kutumia picha yenye Jersey ya Chelsea, umeona bora utumie hiyo ya mabaasha zako, sio?

Mashabiki wa Arsenal na Chelsea munazingua.

Ushauri wangu, acheni utoto, japokua munakula ugali wa kengele.
Mwanangu umeumia kinoma😂😂😂😂😂
 
Na wewe unatuabisha kila saa upo huku.
Wewe hápa unafanya nini mzee? Mm ni mwanaspoti, so notfcatn yyt ihusuyo spotı naruka nayo,
[emoji848] Then ni mgawanyo wa majukumu tu,wewe baki kule mimi kaz yangu kuhakikisha kwa wapinzani njaa haikauki, wewe ni mgeni siwezi kukulaumu,
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nawakabia kwenye final third [emoji23] kama torreira,

Ukiwapa space hawa wanazingua
 
Pumba
 
Wakuuu vip mbona matusi yanatawala sana watu nafikili watu ambao cyo fans wa Chelsea watoke matusi cyo mazuri
Ndio maana wakongwe hawaonekani. Utoto unekuwa mwingi sana, matusi na ujinga mwingine.

Ukirudi miaka kadhaa nyuma, majukwaa ya michezo yalikuwa funny, ila sasa hivi yanaudhi na kuna wakati yanatia kinyaa.

Kuna haja ya kurudisha zile ban za enzi zile

Cc: Paw Invisible Fang
 
Virgil an Dijk, Alisson, Fabinho, Naby Keita, Sadio Mane and Mohamed Salah = £297m
Sisi tumetumia tu Paundi mil 224 uchawi umeanza, Liverpool wako kama Arsenal, wana wivu ya kufa mtu
Mbona unapaniki kiongozi tulia tulia muda utaongea tu
 
Kwa hiyo wewe arsenyeto unawakikishia wazi unatumwa singeshindia mihigo upate kushiba kuliko kushindia jukwaa moja humu mbaka.we nzio wana kushaangaa sana
 
Mwana tafuta kibarua cha ukocha hapo kwa Marina, unaipangaga timu kuliko hata Lampard ila kwa bahati mbaya lazima mliwe hiyo J2 [emoji1787][emoji1787]
 
Wanangu wa The blues vipi weekend tutashinda au tutapigwa 5G tena?[emoji3]

#Coyg[emoji837]
 
Huna akili
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…