Ongeza na Tomori, atakuja kuwa bonge la CBKuna wachezaji tunawachukulia easy sana ila muda tu utasema yote.
1.Mason Mount
2.Hudson Odoi
3.Tammy Abraham
Hii ni potential sana ila si tunawaona oya oya tu. Ipo siku tutasema wenyewe
Na kuna baadhi walikuwepo kwenye pre-season na hawatakuwepo kwenye PL Match, umesahau?
[/QUOTE
Ndo Mana nakwambia pre- season usifananishe na ligi unaweza pre-season ukafanya vizuri ila ligi ikianza uka chemkaNa kuna baadhi walikuwepo kwenye pre-season na hawatakuwepo kwenye PL Match, umesahau?
Ngoma inapigwa tegeta yeye yupo buza anakatika ndo kuwashwa huku watoto wa kiumeTafuta pesa ukitoa ikuume kila mmoja atumie alichojaliwa .pesa atoe mwingine unaumiwa wewe ,maajabu! maajabu!
Wachezaji wote wazuri dunian wanacheza timu hizo ???Hujui mpira ww kaà kimya kwa hyo ww kipimo cha mchezaji mzuri wakimtaka hzo tmu ulizozitaja ndio unajua mzuri hah Acha kulala ww mpira hauchezwi chumbani unachezwa wazi KAI NI FUNDI WA MPIRA SUBILI UONE .... KANGA MAJI WW
Mbona baba ako hajamtimua mama'ako miaka yote hiyo ???Huyu kocha atakuwa wa kwanza kutimuliwa kabla ya boxing day
***frank lamchumvini***View attachment 1559307
so wew ulivofungwa na Aston villa , league pia utafungwa!?Na kuna baadhi walikuwepo kwenye pre-season na hawatakuwepo kwenye PL Match, umesahau?
Ndio lakini sio kwa kushinda 4-0Wewe ujui
Ndio naweza kufungwa lakini sio 4-0so wew ulivofungwa na Aston villa , league pia utafungwa!?
Mechi za preseason ni mechi za fitness sio za kupima nani anacheza zaidi. Hata Liverpool anaweza fungwa na BrightonNa kuna baadhi walikuwepo kwenye pre-season na hawatakuwepo kwenye PL Match, umesahau?
Tafadhali soma uelewe, tactical arrangement inaweza kufanya wachezaji wazuri wakacheza na kutoshea kwenye sub za mawinga bila kuwataja akina Barkley. Narudia nilisema Werner asipocheza striker akacheza Giroud sub za winga zinaongezeka bila Odoi kwa sababuHivi unakumbuka zile sub za Solomon Kalou, Frank Malouda, Ramires?
Brother usifanye sub kujaza nafasi, wewe unawaza sub za kujaza nafasi.
Fanya sub ya kiufundi, kupata kilicho bora zaidi kuboresha game. Angalia man city benchi lao la sub mpaka vilabu epl vimepiga kura sub 5 ziondolewe man city angeua mtu.
Chelsea kwa sasa hatuna sub za maana bali tuna wachezaji wa kujaza nafasi;-
Barkely
Mount
Cheek
Tammy
Joginho
Odoi
Tena ikiwezekana tunatakiwa tusign angalau winga mbili (Kushoto Na kulia) kwa mkopo kabla dirisha halijafungwa.
harvetz anacheza more than position ata Koch wake kbla hahaha Chelsea kweny interview yake alizungumzia anaweza cheza kama winga or kiungoKuwachezesha wachezaji kwenye wrong position madhara yake tuliyaona kwa Kante. Mount ni Mildfilder, Harvetz ni central Mildfilder
Akili zako ziko sawasawa kweli? Sisi tunahusika vipi hapo sasa?, willan alikuwa mchezaji huru alishatoka kwenye mikono yetu. Mshukuruni yeye kwa kuichagua Arsenal
Hizo nafasi wanazicheza precisely, mfano tena Mount anacheza position zote za mbele vizuri sana isipokuwa striker na defensive MFKuwachezesha wachezaji kwenye wrong position madhara yake tuliyaona kwa Kante. Mount ni Mildfilder, Harvetz ni central Mildfilder
Hata siku Willian akianza kulala uwanjani mje kutoa shukurani pia maana Biblia inasema shukuruni kwa kila jamboAsanteni kwa kutupa Willian bure thank you so much
Asanteni kwa kutupa Willian bure thank you so much
CHELSEA HAINGII TOP 4 MSIMU HUU!
Mtanitag msimu ukiisha!
Hiki chuma kitatua kweli dirisha hili?View attachment 1567874