Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

FIFA 20 wanampa rating kubwa huyu kipa wa Milan ambaye Chelsea wanataka kumswapa na KEPA
Chelsea have offered Kepa Arrizabalaga in a swap deal for Gianluigi Donnarumma, according to a report.
Mkataba wake unaisha mwakani na inaelekea anaweza goma kusaini mpya

 
Upepo muhimu, ni km ww unapost JF while Aubameyang anakunja £250kpw [emoji1787][emoji1787]
Sasampaka hapo huoni utofauti? Miaka yote unahangaika lakini mimi unayeniita mdogo ndani ya muda mfupi nimekuzidi Eoro Cups?

Tafuta upepo uje tuongee vizuri.
 
Donnarumma yuko vizuri pia anaweza kubadilika kwa sababu ya umri wake bado mdogo.
 
Hivi hamna Link inayoonyesha hii game ya kirafiki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…