Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mbona kipa wa chelsi anavaa bado helmet kichwani ? au bado hajapona breini konkasheni iliyompataga wakati wa nyuma ?
 
Mpira wa adhabu tena,yakiendelea Messi atasawazisha
 
namna gani hapa solomoni kaluu anakosa nafasi ya wazi
 
huyu lefa maamuzi yake kama ya yule lefa aliyepigwa na wachezaji wa yanga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…