Wewe unaumwa akili, unataka kumfananisha Luiz na Thiago. Umaedhirika akili ndugu, Alichomzidi Luiz Silva ni Long passes tu, maeneo mengine chaliAnatolewa babu Luiz anakuja Kikongwe Silva
Here we go.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Wewe unaumwa akili, unataka kumfananisha Luiz na Thiago. Umaedhirika akili ndugu, Alichomzidi Luiz Silva ni Long passes tu, maeneo mengine chali
Ooooohhh... Sawa[emoji23][emoji23][emoji23]Short term plan huyo mzee experience yake itatusaidia kwa huo muda ....
Tunapunguza wazee wasio na faida kama akina Luiz, Willian tulikuwa bado tunamuhitaji akakataa mkataba ninyi mkaingia kingi, acha utoto wewe ukiwa na wanaume tafuta kujifunza kwanza ili na wewe uwe na hekima na busara huko mbeleni Mungu akikujalia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Unaonekana wazi kuwa umeumbuka na uso kusawijika[emoji57][emoji57]...
Naona hata tuliowasajili chini yake ni waingereza ..timo Werner, hakim ziyech, tunahusishwa ni thiago Silva huyu naye ni mwingereza bila kumsahau wonder kid tunayemtaka kwa hali na Mali ni muingereza ......kwann mnachuki na waingereza hvyo aisee?Tukutane hapa tujadili maendeleo ya timu yetu
Mim kama mimi naona chelsea mbeleni yenye mafinikio makubwa sana endapo Frank Lampard ataacha upendeleo kwa wa England tuu na kutotizama what other players done.Imeisha iyo share ur opinion[emoji106][emoji109]View attachment 1545702
Wewe nyumbu hauna tofauti na hawa cheltako..Nyie genge la wahuni bado mpo sasa mnajadili nini na litimu lenyewe lile
Usinifananishe na chelwowo hata siku mojaWewe nyumbu hauna tofauti na hawa cheltako..
We nyumbu unajipitisha kwenye mageto ya watu na kanga moja umelowa maji unataka nini?Wewe nyumbu hauna tofauti na hawa cheltako..
Matako yanakuwasha wewe, nani nyumbu?!We nyumbu unajipitisha kwenye mageto ya watu na kanga moja umelowa maji unataka nini?
Yani kwa sasa hivi mashabiki wa Arse8 wanavimba mtaani ukikutananao road kama wewe uko upande wa kushoto na yeye yuko kulia, anaeza kukufata na kukuliza kwanini unatembea kwenye Njia yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaongea kama bingwa wa Uefa
Umesahau Kwamba kwenye timu yako kuna takataka za kutosha.Nyie genge la wahuni bado mpo sasa mnajadili nini na litimu lenyewe lile
Wanacheza namba tofauti, Willian yuko kwenye namba yenye wachezaji wengi, Kule nyuma kuna shida, Labda ungeuliza kwa nini Walimruhusu Luiz aondoke na sasa wanamsajili Thiago. THiago ni World Class defender. Takwimu zake zinapitwa na madifender wachache sana duniani. Ukiondoa umri wake kuna maeneo kama ya Marking, Tackling, Strengths, Heading, passing, Interception (Very very good), jumping, Composure ni mzuri sana na hayo maeneo ndiko Chelsea inakomiss. Akija Chelsea atakayempita kwenye hayo maeneo ni Kante pekeeNaomba kujua, inakuwaje Chelsea walimnyima mkataba Willian wa miaka mitatu then wanaenda kumpa Thiago Silva miaka iyo iyo mitatu?
Silva hawezi pewa mkataba wa miaka 3Naomba kujua, inakuwaje Chelsea walimnyima mkataba Willian wa miaka mitatu then wanaenda kumpa Thiago Silva miaka iyo iyo mitatu?
Juzi ijumaa ndio wameingia kambini jana wameanza kufanyiwa vipimo vya covidHivi waungwana wachezaji wetu wanaanza mazoezi lini kujiandaa na msimu ujao.?? Maana naona kimya tu na siku zinasogea
Tatizo lako huwa huelewi unakaza kichwa mnoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa achaga vituko basi, juzi tu ziliwekwa habari hapa zinazomuhusu huyu Kibabu ukazikanusha[emoji23][emoji23]
Leo unamuona bora.
Kabla hujajua ukweli wa jambo usikurupuke[emoji23]
Kambi ya vikongwe hii,
Bado kuna golikipa mmoja ana miaka 38 mnamfukuzia usije sema sijakwambia[emoji837][emoji2089]
Mkuu, hapa hakuna timu[emoji23][emoji23]Nyie genge la wahuni bado mpo sasa mnajadili nini na litimu lenyewe lile
Sasa mara mlikuwa mnamuhitaji, mara amewakatalia kusign mkataba, [emoji23][emoji23]mara sisi tumeingia kingi[emoji23][emoji23]Tunapunguza wazee wasio na faida kama akina Luiz, Willian tulikuwa bado tunamuhitaji akakataa mkataba ninyi mkaingia kingi, acha utoto wewe ukiwa na wanaume tafuta kujifunza kwanza ili na wewe uwe na hekima na busara huko mbeleni Mungu akikujalia