Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kepa kawika misimu mingapi mpaka ukala za chembe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hamjui pepe huyu, kacheza chini ya makocha watatu , still bado kachangia magoli 18

Ameshasahau ndiye Aliyewaua hapo Wembley assist to Auba
 
Humu siyo kama jukwaa la Arsenal kwamba ukipata chochote unatuma. Hivi vihabari uchwara mmekaa wenyewe na kabineti yenu sisi havitaweza kutusaidia.

Chelsea siyo sehemu ya wazee kustaafia kama Arsenane
Mbona Etoo alikuja kula pension[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au ulikuwa bado hujazaliwa?

Willy.???
 
Cabalero mwezi ujao anatimiza miaka 39[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Humu siyo kama jukwaa la Arsenal kwamba ukipata chochote unatuma. Hivi vihabari uchwara mmekaa wenyewe na kabineti yenu sisi havitaweza kutusaidia.

Chelsea siyo sehemu ya wazee kustaafia kama Arsenane
Wewe Payuka tu, Hadi sasa Hujasajiri kipa wakueleweka


PSG defender Thiago Silva offered to Chelsea on free transfer (Telegraph) #CFC #PSG
 
Watatongozwa wataingia kwenye nyavu ,
Clabu nje ya uingeleza saiz washajua timu nyingi zinahitaji kujijenga so wachezaji wao wanahitajik sana sokoni ndomana kwenye bei wanakomaa nayo bila punguzo
.unataka mchezaji mzuri gharama itahusika wao hawajali Kama ataflop or not
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…