Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Kumuweka Kepa sokoni ni sawa na kwenda Saud Arabia kufanya biashara ya KitimotoNauliza hakuna timu iliyomtaka Kepa adi sasa?
Ata kwa mkopo tu
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Anachukulia poa sana, hajiulizi kwanini hadi sasa Wanavutana kwenye dili la Havertz , Ambapo wanahitajika kuuza fringes kwanza ndio wa affordYani Jamaa una Ndoto za kujenga angani.
Mumechukua Zyech na Werner,
Sasa bado una ndoto za kuwasajili Havertz-Oblak-Chilwell-Dunk ?? Unajuwa wanacost shilingi ngapi hao ukijumlisha na za Werner na Zyech?
Amini tajiri wako atazitoa hizo hela.
Deal la havertz alidepend na kuuza wachezajAnachukulia poa sana, hajiulizi kwanini hadi sasa Wanavutana kwenye dili la Havertz , Ambapo wanahitajika kuuza fringes kwanza ndio wa afford
Alonso sio mzuri kwa 433 maybe kuna kitu amekiona sisi atujakiona n smtime stats zinadepend na match walizochezaTukienda kwa takwimu, Marcos Alonso ni mzuri zaidi ya Ben Chilwell, Lampard sijui anampendea nini huyu
View attachment 1540352
Hiyo takataka atachukua nani? [emoji23][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837][emoji837]Nauliza hakuna timu iliyomtaka Kepa adi sasa?
Ata kwa mkopo tu
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Alonso sio mzuri kwa 433 maybe kuna kitu amekiona sisi atujakiona n smtime stats zinadepend na match walizocheza
Aliyecheza mechi chache na akafanya vizuri ni tofauti na yule aliyecheza mechi nying
Atletico wanataka muwape £90m+kepa ili wawape Oblak[emoji837]Valencia wanataka kwa mkopo, Chelsea wanataka iwe mkopo with an option to buy.
Atletico wanataka muwape £90m+kepa ili wawape Oblak[emoji837]Valencia wanataka kwa mkopo, Chelsea wanataka iwe mkopo with an option to buy.
Wewe una akili sana , sema huyu ni muingereza naonaTukienda kwa takwimu, Marcos Alonso ni mzuri zaidi ya Ben Chilwell, Lampard sijui anampendea nini huyu
View attachment 1540352
Kwa chilwell mnaenda kupigwa Kama man u walipopigwa kwa magwayaPitia vizuri hizi work rate factors halafu uniambie ni wapi hasa Chilwell anakuwa Asset zaidi ya Alonso. Kule LCFC mashabiki hawamkubali, wanasubiri tu aondoke. Comment za watu wengi wanasema hivyo hivyo. Sajili zote tutakazofanya msimu huu, Chilwell itakula kwetu ukichukulia pesa inayolipwa na pengine mshahara watakaomuahidi kwenye mkataba. Bora twende na option ya akina Alex TelleView attachment 1540427
Kupigwa ni issue ya baadae hata ambao wakati kepa anasajiliwa no one aliexpect kepa atakuwa na performance kama ya msim huuKwa chilwell mnaenda kupigwa Kama man u walipopigwa kwa magwaya
Chilwell anamzid nn Emerson ? Maana ni dhambi kumfananisha na Alonso
Sasa Chilwell si bora ubaki na AlonsoKupigwa ni issue ya baadae hata ambao wakati kepa anasajiliwa no one aliexpect kepa atakuwa na performance kama ya msim huu
Mda ndio unaoamua na sii kwa kuwa flani alipigwa na wewe ulipigwa sajili zote huwa zina hit n miss
Mchezaj yyt uliyemsajil akihit fresh
Angalia
James rodriguez,coutinho,jovic hawa wote walikuwa wazuri kwenye tim ila baada ya kuhamia kwenye tim zingine sahiv washakuwa wanatolewa kwa mkopo hakuna aliyetegemea james rodriguez atakuwa flop madrid ila ndio mpira ulivyo
Cahil alikuja chelsea akiwa na kiwango cha kawaida ila baadae akadevelop akaja kuwa cb mzuri tu na kiongozi ndani ya uwanja
Same to chilwel leo hii unaweza ukawa unahis unapigwa ila usishangae yeye ndio akawa best signing halaf wale mliowategemea ndio wakabuma