Sawa sawaExactly, umesema miaka miwili kwa sababu ya uzee, angekluwa na 20's tungempa hata minne
Mzee huu mkurupuko umezidi sasa maana huelewi nilishoandika. Board imeona uwezo wake na ndio maana ikampa miaka 2 lakini kwa timu aliyoenda anaweza faa kulingana na uwezo wake si kwetu sisi. Angekua wa muhimu sana angepewa hiyo miaka 3 aliyotaka.Kupata kituko kama hiki tubonyeze ngapi mzee?
[emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi mlivyokuwa mnambembeleza asign miaka miwili mlikuwa hamjui kuwa kaisha mawazo na uwezo?
NB: ukiwa na hasira usijitutumue kuongea unawaaibisha timu ndogo wenzako? Yaani waliopo ktk technical staff ya Chelsea pale London wamestruggle kumshawishi jamaa asinye miaka miwili ila wewe uliopo vigwaza unamuona Willian hana uwezo,
Uwage na stamala na aibu.
Ni overprice tu , hakuna cha zaidVipi kule kwenu uchunguzi umefika wapi kuhusu usajili wa Pepe?
Nimeona Mkurugenzi wa Maswala ya mpira kala kona.
Alichowafanya pale Wembley ,humuheshimu tuOooh, nlisahau mnae comrade kiPepe
Da we jamaa unatia huruma maana huelewi hata unachosimamiaMzee huu mkurupuko umezidi sasa maana huelewi nilishoandika. Board imeona uwezo wake na ndio maana ikampa miaka 2 lakini kwa timu aliyoenda anaweza faa kulingana na uwezo wake si kwetu sisi. Angekua wa muhimu sana angepewa hiyo miaka 3 aliyotaka.
Inamaana habari za nick pope,onana na jan oblak na dean henderson huwa huzioni hao ndio main targetSawa sawa
Watford's 37-year-old former England keeper Ben Foster has become a summer transfer target for both Chelsea and Everton. (Sun on Sunday)
Naona mpo katika kupambania vijana huko sokoni[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunae FRANCISCO ZOLA [emoji1787]Oooh, nlisahau mnae comrade kiPepe
Mkuu hizi taarifa sijui unazipata wapi ndio kwanza naziona kwako. Muache vya kuokoteza. Tuletee habari za SkySports au Fabrizio Romano and the likes.Da we jamaa unatia huruma maana huelewi hata unachosimamia
Haya
Watford's 37-year-old former England keeper Ben Foster has become a summer transfer target for both Chelsea and Everton. (Sun on Sunday)
Kijana huyo.
Wenge linawayumbishaInamaana habari za nick pope,onana na jan oblak na dean henderson huwa huzioni hao ndio main target
Huwa simjibu zaidi ya mara moja kama haelewi maana hata umri wake sijui, kwa majibu yake tu atakuwa kwenye ule umri wa wale wasioelewa au jirani yake. Habari za media za ushenzini ndio anatuletea hapa kama defending pointInamaana habari za nick pope,onana na jan oblak na dean henderson huwa huzioni hao ndio main target
Kwa oblak ni ngumu sana due to his release clauseHawa wanaweza kuja darajani muda wowote
- Lewis Dunk
- Ben Chilwell
- Jan Oblak
- Havertz
Wewe unataka nini kwani?Chistophe Lollichon huyu baba ndie scout wa magolikipa katika Club ya Chelsea na ndiye aliyemscout kepa kule Spain kwa muda wa miezi mitatu(3) na akijiridhisha
.
bidhaa yake aliyotuletea [emoji1484]
.
kwenye mashuti kumi na nne (14) ya mechi sita (6) EPL zilizopita kepa amefanya save tatu(3) tu [emoji855]
.
kwenye mechi kumi na tisa(19) za ugenini EPL msimu huu kepa amepata clean sheet moja(1) tu [emoji1]
.
Anashika nafasi ya 22 kati ya magolikipa wa team 20 za EPL ikiwa ina maana kepa halinganiashwi tena na magolikipa wa first eleven [emoji17]
.
MPAKA HIVI SASA JAMAA HAPOKEI SIMU ZA TAKUKURUView attachment 1538855