Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huu uzi bado unavitoto kweli yaani , unaeza hisi walifunga magoli ya halali yakakataliwa. nyinyi kubalini mmepigwa na uwezo wenu ni mdogo sanaa ova
Ina maana we muda wote nnavyoliita jukwaa la vitoto hukujua kama humu kweli kuna vitoto[emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna mmoja alisema alikuwepo toka enzi za FRANSISCO ZOLA[emoji23][emoji23][emoji23]
wengi wao wanasimuliwa tu kuhusu hii timu, wakati sisi hao kina Giafranco, Didier Deschamps,Viari, Dersailly, Tole andre Flo na kina Petrescu wanacheza sisi tuliiona na tuliwaona vihande tu kama Preston Northend au Njombe mji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya sasa
View attachment 1525937
 
Willian still rejects Chelsea's two-year contract offer, while they don't want to offer three years. Looking like Willian will leave but no decision imminent as he focuses on Chelsea's Champions League run-in.

[Nizaar Kinsella]
 
Mark Clattenburg :- FA bent their rules to give Anthony Taylor second Cup final on Saturday.... and Chelsea were wronged by Mateo Kovacic's second yellow card at Wembley.

Tukiongea sisi tunasemwa vitoto kisa tunaongea uhalisia. Huyo ni referee wa EPL kaongea. Yawezekana kwenye keyboard tunaonekana kama watoto lakini uhalisia wanaujua nabyawezekana wengi wao sisi ni baba zao wadogo.
 
Chelsea inatakiwa kufanya usajiri wa striker no.1 then Abraham awe anatoka sub
 
Kweli mkuu tatizo kubwa la Chelsea ni no. 9
 
We unaangalia mpira kweli?
Huyo anajua mpira.. Hebu sema wewe unategemea nani awe mpachikaji wako wa mabao msimu ujao?

Labda muamue kucheza kama Liverpool, mawinga ndio wanaoshinda.

Lakini kama mtakuwa mnategemea no. 9 ya Giroud na Tammy mnatoka patupu na msimu ujao
 
Ulishasahau kuwa yule refa aliyechezesha game mliyoshinda kwa dhulma nae aligongwa BAN kwa kuwabeba na hamkulizingatia hilo[emoji23][emoji23]


 
Huyo anajua mpira.. Hebu sema wewe unategemea nani awe mpachikaji wako wa mabao msimu ujao?

Labda muamue kucheza kama Liverpool, mawinga ndio wanaoshinda.

Lakini kama mtakuwa mnategemea no. 9 ya Giroud na Tammy mnatoka patupu na msimu ujao
Ujui kwamba Chelsea imemsajili Timo Werner
 
Alokwambia Timo Werner no. 9 ni nani?

Ndo mana nikasema labda mtumie mchezo wa Liverpool wa kutumia mawinga kama washambuliaji
Timo Werner anazimudu nafac 2 za LWF na CF ....+ ujio Wa havertz utampa lamps option kibao za mifumo IPI ya kutumia...so mi sioni shida ya no.9 ilhali kuna ripoti lampard alihojiwa atakuwa anamchezesha timo nafasi ipi na akasema striker
 
Tuambie mtaalamu Timo ni namba gani?
Position za Werner ni hizi:

(SS), (LWF) & (AMF)

Timu ya taifa ya Ujerumani walimtumia kama no. 9 ya uongo kwa sababu katika misimu hii hawakupata straika wa maana wa kufunga magoli kama miaka iliyopita ya kina Gomez na Klose.

Kwahiyo mkitaka kumtumia kama wanavyomtumia wajerumani ndo lazima mrudi kwenye mfumo wa Liva wanavyomtumia Firmino
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…