Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Huyo ni Mwanaume kati ya vidume, we baki huko na vitimu vya EUROPA uendelee kuteseka hadi utapojua kucheza na wanaume UEFA.Hakuna mchezaji anayeitwa Fransisco Zola, nyie mnasikiliza sana stori za vijiweni na haka katimu kenu.
GIANFRANCO ZOLA.
eboh
Umesahau ya Jorginho Emirates????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waache kwanza maugulie maumivu
Na itoshe kusema kuwa refa kawabeba sana.
Hakuna kitu kama hicho. Mechi moja haiwez kuvuruga usajili wa teamNa mna bahati mmesajili kabla ya final.. La sivyo, yule Werner na Ziyech wangegoma wale
Mkuu wewe hujui chochote naona unalialia tu. Ni kheri ungekaa kimya kuliko unavyo endelea kutuaibisha.Niko tangu enzi za kina Fransisco Zola lakini si utopolo wa sasa hivi wa Chelsea tofauti na kujikalia home au mtaani na kusikilizia matokeo tu maana bado haijafikia kiwango bora kwa jinsi inavyotakiwa timu ya ushindani.
Sawa, ukishajua kiuhalisia tuko tofauti hautateseka kabisa kulazimisha mawazo/mtizamo wako uwe nami la sivyo utakuwa una matatizo ya akili tu.Mkuu wewe hujui chochote naona unalialia tu. Ni kheri ungekaa kimya kuliko unavyo endelea kutuaibisha.
Sawa lakini hii ya leo refa amezidiUmesahau ya Jorginho Emirates????
Labda wapindue meza ya mama ntilieSio mbaya jipangeni mechi na Bayern mnaweza mkapindua meza.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpira bado upo ndaniSawa lakini hii ya leo refa amezidiView attachment 1524337
Ni mtazamo wakoMpira bado upo ndani
Wazee wa ndani ya miaka 10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni Mwanaume kati ya vidume, we baki huko na vitimu vya EUROPA uendelee kuteseka hadi utapojua kucheza na wanaume UEFA.
Haya weka penati basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa lakini hii ya leo refa amezidiView attachment 1524337
Ni kiasi inaonesha ulivyokuwa na mawazo finyuHaya weka penati basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kwenye uzi wako huku mabwana zako wameshalala husiwe unakipitisha bureNyie cheltako mmekimbia jukwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Tupige hesabu za miaka 10 au tupotezee?Wazee wa ndani ya miaka 10[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmetoka kapa, jipangeni kwa msimu ujao
Pulisic alipopata injury tu nikajua tayar hapa tunafungwa hakuna mchezaj mwingine anayeweza tumia juhudi binafsi kuwatoka mabekiKwa maoni yangu Refa kawabeba Arsenal sana
Kovacic alifanyiwa rafu halafu yeye ndio anaadhibiwa
Pedro kafanyiwa rafu eneo la penalti refa akapeta
Martinez kadakia nje ya eneo lake refa kapeta
Upande wa pili Chelsea na Arsenal wamecheza hovyo
Chelsea walicheza kama dakiak 20 za mwanzo ile kandanda yao waliofunzwa na kocha baada ya hapo wakaanza uchovu mwingi japo waliendelea kumiliki mpira zaidi ya Arsenal
Hata hivyo hayo yamepita tugange yajayo ambayo yanapendeza zaidi
Azpi alipoumia na Pulisic na Kovacic kutolewa nilitegemea Arsenal wangetumia hiyo fursa kuongeza mabao lakini na wao wamechoka kama Chelsea
Naona hii msongamano wa mechi imewaadhjiri sana wachezaji
Hongera sana Pedro umekufa kiume ukitetea timu kusawazisha japo unaondoka Chelsea. Mungu akuponye haraka
Tatizo watu kama hawa huwa hawabetiUmejitahidi kupredict unapata 90%