Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,396
- 6,025
Asante kwa kutokwenda kuangalia mechi maana nilijua Chelsea ya leo hii ni utopolo haikaribii ya akina Makelele hata kwa 40% sema ni bahati nasibu tu ndiyomaana hata top 4 tumeiona EPL ya 2019/2020
Ndo uwezooo wenuu kijanaa usilieeTumecheza hovyo kabisa
Wamekubeza Sana.Kama matokeo yatakuwa tofauti na nadharia, ina maana nadharia ni mbovu, inayofaa kuboreshwa au kutupwa. Na nadharia yoyote hupimwa kwa uwezo wake wa kutangaza matarajio kabla ya matukio.
Nimerithi toka kwa kizazi cha wana wa Israel wakitokea Misri kwenda Kanani, kama utakuwa unasoma maandiko matakatifu vizuri zaidi.We jamaa unaonekana mtu wa lawama lawama na kulalamika muda wote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimerithi toka kwa kizazi cha wana wa Israel wakitokea Misri kwenda Kanani, kama utakuwa unasoma maandiko matakatifu vizuri zaidi.
Nimerithi toka kwa kizazi cha wana wa Israel wakitokea Misri kwenda Kanani, kama utakuwa unasoma maandiko matakatifu vizuri zaidi.