Sasa Juventus alishuka kwa uwezo mdogo au alishuka kwa adhabu[emoji23][emoji23][emoji23]ndio maana tunawaitaga watoto maana hujui hata kuwa Juve alipigwa adhabu kwa skendo ya kupanga matokeo na Chelsea walikuwa wanashukashuka kwasababu haikustahili kuwa premier[emoji23][emoji23]kiufupi tu ilikuwa kama westbromwich albion au brentford[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kushuka daraja siyo kigezo cha timu ndogo. Ie Juventus. Msikaze vichwa kaka yenu anawaramba leo kuthibitisha ukubwa zaidi
Wewe ndio ulisema Azipulukueta amfiche Pierre Ermerik Aubameyang[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtu anakaba na mikono kama yupo Mwananyamala kwa mama zakaria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1st half tumeanza vizuri, tumeimaliza hoi. Kama KANTE yuko fit aingie Jognho apumzike.
Nimeshatoka asee, pole mamie we ziba masikio tu hapo 😀Bora yako,
Nimekaa hapa nimezungukwa na miasenali na maniyu sijui mpaka nahisi kudata kelele zao khaah'.!
Dah!
Carleen 😣 sa itakuwaje babe!!
Nishalifunga mkuu ondoa shaka ww mbembeleze mjane halaf @Aroon akatafute kuni hatuwez ita watu msibani wasile1 kwa 1
Alafu tunawahemea tu, turubai muda wowote linafungwa hapa
walaqhi' hapa kichwa kinaniuma babes.!!
Ushaingia mitin najua tutakuona baada ya wikiWale panya ni wetu hapana pa kutokea..