Dribling skills kama za CR7 ni mzuri kwa vichwa hujaona tu anavyofungaNimeona ni mzuri long shot kweli hatukua nae wakupiga shoti hizo, ila hajui kupiga chenga nakufunga kwa kichwa, wapunguze bei atatufa sana nimwepesi sio kama Tammy
Kweli atatufaa tukipata viungo waki wazuri atafunga ma goli paka basiDribling skills kama za CR7 ni mzuri kwa vichwa hujaona tu anavyofunga
Nakujua vizuri Hakuna mshabiki yoyote wa man u anaweza kushabikia Chelsea ikicheza na team yoyote.Come'On Arsenal
COYG
Afu kuna takataka nyingine inakuambia Werner ataflop kama morata..... yaan aflop kwenye ligi hii hii ambayo mzembe martial anafunga afu yeye aje kushindwa kweliKuna watu wanaobeza skills na uwezo wa Kai Havertz, njia rahisi kwako nenda youtube angalia video na comments za watu. Mashabiki wengi hawawezi kuwa waongo hata kidogo. Ukute katika 100 99 wanamsifia wewe nani ambaye hata hujamuona akicheza
Eti Giroud ndio straika. Leo huo uchafu wenu ukipata goli sishabikii tena mpira.
Takataka tupu!!
Come'On Arsenal
COYG
Leo kitaeleweka nani mwanaumeCome On Bluees [emoji838][emoji838][emoji838][emoji471][emoji1548][emoji1548]
Giant team siku zote awapendwi.Leo mashabiki wote wa Man u na Liverpol wanakuwa mashabiki wa Arsenal. [emoji28][emoji28]
Yan unasubiri mechi ya leo ndio ulijue hilo?Leo kitaeleweka nani mwanaume
Ina maana hakuna wa Chelsea walioenda Emirate kubeba makombe, Labda Luiz atakuwa wa kwanzaHaha kila mchezaji aliyetokaga arsenal akaja Chelsea alibeba makombe ..tuanze na
Ashley Cole..hahaha
Akaja Fabregas..hahaha
Benayoun...hahaha
Giroud...hahaha
Halafu kitu amjajua Giroud ananyota ya makombe na fainal sana..
Lacazzete ataendelea kuburuzwa timu ya taifa labda Oliver astaafu ndo ataweza kuitwa ata akakae benchi..
Kiufupi hii Arsenal huwa inatupa wachezaji ambao huja kuleta na kubeba makombe...
Hahaha #CFC[emoji170][emoji170][emoji170]