Mkuu inaandikwa AzpilicuetaNia tunayo, sababu tunayo na nguvu tunayo.
LONDON IS BLUE FOREVER
WE'RE THE BEST
BELIEVE THAT
PULISIC......GIROUD......MOUNT
ALONSO...KOVACIC...KANTE.....JAMES
RUDGER.....ZOUMA........AZIPUCUETA
....................CABALLERO......................
SUB:-
Willan
Odoi
Abraham
Keppa
Joginho
RLC
Barkely
Ermason
Wakati Watford alikutoa jasho wiki iliyopitaNilicheka sana siku ile, watu mapema tu tupo pungufu lakini wanahaha, sasa mziki ukiwa kamili si tutavichakaza hivi vitoto[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti Giroud ndio straika. Leo huo uchafu wenu ukipata goli sishabikii tena mpira.Nia tunayo, sababu tunayo na nguvu tunayo.
LONDON IS BLUE FOREVER
WE'RE THE BEST
BELIEVE THAT
PULISIC......GIROUD......MOUNT
ALONSO...KOVACIC...KANTE.....JAMES
RUDGER.....ZOUMA........AZIPUCUETA
....................CABALLERO......................
SUB:-
Willan
Odoi
Abraham
Keppa
Joginho
RLC
Barkely
Ermason
hahahahahahahaaaaa mnachekeshaga sana humu yan,timu ndogo ni timu ndogo tuNia tunayo, sababu tunayo na nguvu tunayo.
LONDON IS BLUE FOREVER
WE'RE THE BEST
BELIEVE THAT
PULISIC......GIROUD......MOUNT
ALONSO...KOVACIC...KANTE.....JAMES
RUDGER.....ZOUMA........AZIPUCUETA
....................CABALLERO......................
SUB:-
Willan
Odoi
Abraham
Keppa
Joginho
RLC
Barkely
Ermason
wakati sisi tuliiona takataka tukatafuta pa kudampo jamaa wakaona lulu dah wanachekesha sanaEti Giroud ndio straika. Leo huo uchafu wenu ukipata goli sishabikii tena mpira.
Takataka tupu!!
vipi ubao ulisomekaje mwisho wa mechi?Wakati Watford alikutoa jasho wiki iliyopita
Haha kila mchezaji aliyetokaga arsenal akaja Chelsea alibeba makombe ..tuanze nawakati sisi tuliiona takataka tukatafuta pa kudampo jamaa wakaona lulu dah wanachekesha sana
Statistics zako zina uongo mwingi Chelsea kachukua Europe league Mara 2 sio Mara 1 Kama ulivyosemaSasa timu imeshuka daraja mara 6 kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kakwambia timu kubwa zinashuka daraja[emoji1616][emoji3][emoji1616]View attachment 1523396
Giroud alihusika na magoli matatu kati ya 4 tulizowabugiza pale Baku Olympic Stadium tarehe 29 May 2019. Ilitakiwa ungeanza kuacha kushabikia huo uchafu wenu wa kila mtu anajipigia hapo tangu tarehe hiyoEti Giroud ndio straika. Leo huo uchafu wenu ukipata goli sishabikii tena mpira.
Takataka tupu!!
Yossi Benayoun alitokea Liver akaenda Chelsea, baadae alipelekwa Arsenal kwa mkopo.Haha kila mchezaji aliyetokaga arsenal akaja Chelsea alibeba makombe ..tuanze na
Ashley Cole..hahaha
Akaja Fabregas..hahaha
Benayoun...hahaha
Giroud...hahaha
Halafu kitu amjajua Giroud ananyota ya makombe na fainal sana..
Lacazzete ataendelea kuburuzwa timu ya taifa labda Oliver astaafu ndo ataweza kuitwa ata akakae benchi..
Kiufupi hii Arsenal huwa inatupa wachezaji ambao huja kuleta na kubeba makombe...
Hahaha #CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Mbona umechangia uharo kabisa? Kwa beki gani ya arsenal uliyonayo Hadi useme hivyo? Huo ushabiki mandazi kabisaEti Giroud ndio straika. Leo huo uchafu wenu ukipata goli sishabikii tena mpira.
Takataka tupu!!
Tuache ushabiki be realistic je unaamini anachosema mwenzako Giroud Ni takataka?wakati sisi tuliiona takataka tukatafuta pa kudampo jamaa wakaona lulu dah wanachekesha sana
Hawa jamaa tumeshawapiga kata funua kitambo wamebaki kujidaia historia.Niliyoona mahali (updated 2019)
Arsenal-37.9 mil
Chelsea-47.8 mil
Arsenal- 13.5 mil
Chelsea-15.3 mil
Arsenal-14.1 mil
Chelsea-12.5 mil
Shirt sales
Arsenal-1125000 (2016)
Chelsea-1650000(2016)
Shirt sponsor deals
Arsenal- €30 mil a year
Chelsea-€40 mil a year
Average match attendance
Arsenal-59295/60432
Chelsea-41425
Worldwide fans
Arsenal-125 mil
Chelsea-145 mil
Revenue
Arsenal-€426 mil
Chelsea-€374 mil
Club value
Arsenal-€1.169 bil
Chelsea-€1.563 bil
Umesha check? Unaweza kuta una typhoid au TBSiyo kila homa ni maleria.
Kushuka daraja siyo kigezo cha timu ndogo. Ie Juventus. Msikaze vichwa kaka yenu anawaramba leo kuthibitisha ukubwa zaidiSasa timu imeshuka daraja mara 6 kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kakwambia timu kubwa zinashuka daraja[emoji1616][emoji3][emoji1616]View attachment 1523396
Nimeona ni mzuri long shot kweli hatukua nae wakupiga shoti hizo, ila hajui kupiga chenga nakufunga kwa kichwa, wapunguze bei atatufa sana nimwepesi sio kama TammyKuan watu wanaobeza skills na uwezo wa Kai Havertz, njia rahisi kwako nenda youtube angalia video na comments za watu. Mashabiki wengi hawawezi kuwa waongo hata kidogo. Ukute katika 100 99 wanamsifia wewe nani ambaye hata hujamuona akicheza